Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahah mdada awez kuendesha mkorosho huo 🤣🤣🤣
Kwa mtaalamu hata ukiwa na laki nane unapata gari 😅😅.. kama hii unajipangia bei.. kuwa na gari siku hizi rahisi sana
Screenshot_20230314_090934_Instagram.jpg
 
Kwa mtaalamu hata ukiwa na laki nane unapata gari 😅😅.. kama hii unajipangia bei.. kuwa na gari siku hizi rahisi sanaView attachment 2550098
Kama una hela unajibebea hii kwa million 3 kisha unaiingizia million 5 inakuwa mpya kabisa 😀😀😀 kisha unauza kwa 13M bila aibu
 
Sasa kuna convoy jana uliikosa kidogo. Walinipita maeneo ya mkata, nikawakuta wamesimama Kabuku nikapita wakanikuta Korogwe na refill na wao pia.
Mzee kuna 3 RR sporty 2018-20, Kuna RR autobiography mbili 2018-20 kuna mzee wa kazi LC300 moja na LC200 vxr late model mbili. Vijana wadogo sana. Wanakimbia balaa na ving'ora vya mchongo
Hahahah hao ningekuwa nawafuata kimya kimya 🤣🤣🤣 vipi mziki wa LC300 maana natamani sana nikutane nayo in Action.?
 
Back
Top Bottom