Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa Road trips kuna hizi MAJESTA mbili zimenishawishi sana. Sasa nawaza nivue moja kati ya hizo (Nitakayoridhika nayo baada ya kukagua).

Nataka niweke akiba iwe special kwa ajili ya fimbo za kutia watu adabu kwenye safari za mbali.

Zote zina 3UZ kifuani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…