Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Gari lina 4290cc kisa tu nisiachwe na magari mengine barabarani? Kwa kweli wenye pesa nunueni tu, natokaga na ka Starlet kangu Chuga mpaka Rock City kuona watoto Kwa masaa 12 kama ni mchana, usiku natumia masaa tisa, yananitosha
Sio kuachwa tu mkuu! Kuna ile raha fulani hivi unaipata ukiwa unaendesha gari yenye kifua kinene.

Kuna hii gari nilitaka kuiingiza nchini tena nimepewa bure kabisa ila tu ushuru umenifanya nirudi nyuma hali ngumu kwa sasa.

Ina 1UZ V8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…