Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh! Noma sana

So huna hata road trips na babe? Au we padri?
 
Wanasinzia vizuri me mwenyewe shahidi wa hili.
 
Nakumbuka mara ya Kwanza na ya mwisho kusinzia barabarani nilipiga trip nyingi mchana hadi usiku wa manane! Nilitoka mji mmoja nikapeleka mizigo mji mwingine. Nikarudi, jioni nikaenda mji mwingine kuchukua mtu, tukaenda mji mwingine kula bata hadi usiku wa manane then nikamrudisha mjini kwake ili nirudi mji wangu usiku huo huo. Hapo kati wakati narudi kilichokuwa kinanishtua ni kelele za mistari ya pembeni ya barabara na kwasababu ilikuwa usiku mkubwa magari machache ndio pona yetu. Sikuwahi kurudia tena kufanya hivyo.
 
Kivipi dadavua ?
Naturally,ubongo unapokuwa active for so long huwa unakuwa exhausted,na unapoanza kuwa exhausted huja na dalili zake ikiwemo kuhisi uchovu hvyo huitaji kupumzishwa kwa kiasi cha muda flani ili upate efficiency yake ya awali.Sasa unapolazimishwa kuendelea kufanya kazi kupita uwezo wake kuna point ikifika hauleti dalili tena na hapo ndo mtu mnamkuta analala ghafla while driving at the middle of the road.
Tunaweza kulinganisha na gari-Unapoona dashboard ya gari inakuonyesha taa nyekundi huwa linaashiria problem flan flan kwenye chombo husika ili marekebisho yafaanyike ingawa halitokuzimia ghafla,lakini ukili force,there is a point na lenyewe litakuzimia at the middle of the road.
*Dawa ya uchovu wa driving ni ku park gari pembeni-Either ulale au utembee tembee kidogo nk.
 
Thanks God you are Alive. Watu wanashauriwa wasiendeshe magari kwa muda mrefu muda ambao mara nyingi ni muda wao wa kulala manake it's most likely watasinzia.
 
Ha ha ha hatari sana. Kuna watu hasa Eastern European wanapenda kufanya kazi masaa mengi sasa ili wasisinzie au kuchoka wanapiga hizo red bull,wengi huwa wanadondoka na kufa ghafla. Anaepona ni yule siku anaenda kulala leo jioni anaamka kesho usiku! Usingizi ukizidi unasinzia huku unatembea(ishanitokea).
 
Unachosema upo sahihi kabisa mkuu. Nimeisha jisoma sana na ndio maana nafanya hivyo.. huwa natumia hizo kama cha ziada, ila hata bila hizo nakesha bila shida kama nimepumzika vya kutosha kabla ya kuanza safari. Usingizi ni swala la brain yako ulivyo i train. Kuna kipindi nakuwa na kazi zangu za kawaida inaweza nichukua hata siku mbili hadi tatu bila hata kufumba macho.. na hata wenzangu kazini huwa nawaeleza hivyo na huwa wana nishangaa sana
 
Duh walevi umenikumbusha jamaa wanaokunywa konyagi wanasema inakata memory. Wengi wakiamka asubuhi cha Kwanza anaangalia gari ipo? Akiiona anarudi kulala,hapo hakumbuki barabarani hadi nyumbani ni nini kilitokea!
 
Nashukuru sana kwa ku share experience yako.Hii itachangia kujengea watu uelewa na kuokoa maisha mengi.
 
Duh walevi umenikumbusha jamaa wanaokunywa konyagi wanasema inakata memory. Wengi wakiamka asubuhi cha Kwanza anaangalia gari ipo? Akiiona anarudi kulala,hapo hakumbuki barabarani hadi nyumbani ni nini kilitokea!
Nimecheka sana manake umenikumbusha mbali mnoo 😁 😁 😁 .Kuna mzee alishanisimulia chanzo cha kuacha kunywa bia za kampan na marafiki.Huyu mzee alipark gari mtaroni akiwa amelewa usiku karibu na petrol station,Sasa ameamka asubuh anatafuta gari aende kazini,gari halionekani ila ufunguo anao,anakwambia ilifikia hatua akatafuta gari kwenye suruali 😁😁😁,ghafla washkaji zake wanampigia simu mbona kaegesha gari mtaroni karibu na petrol station ndo akili zikamrudi na kukumbuka
 
Ningekuwa wa kulala usiku, ningekuwa nishakulaga muzinga kitambo.. kuna kipindu nishapiga safari.. from dar es salaan to singida usiku hiyo .. then singida to arusha.. nikatoka arusha to chato nikatoka chato nikaingia mwanza.. ndio nikaenda pumzika.. na hiyi ni non stop mzeee
 
Ajali sometimes huwa inatokeaga in a single day,na hiyo single day wengi wetu ndo hatuijui.Hizi sheria za barabarani zinakuwa updated kila kukicha ili kutukinga na madhila yanayowapata wengine sehemu mbalimbali duniani yasitupate na sisi.Hata hapa forum-nikimsikia mtu anatoa experience yake ya ajali during driving huwa naichukulia serious mno,very serious kwelikwel na kuchukua hatua binafsi ili na mimi changamoto hyo niiepuke.Ni bahati kubwa sana kuinteract na anaye survive ajali na sisi kupata elimu kutoka kwake manake anatuokoa na mengi.
* Kikubwa tuepuke udereva wa mazoea.Ex-Magari ya Magazeti huwa tunayasifia kwa haraka na umakini wa dereva lakini huwa wakipata deadly accident kutokana na mwendo tunashikaga vichwa.Dereva ili uwe salama lazima ukubali kujifunza kila siku.
 
Kuna kale ka kipande ka kutoka babati unaitafta kondoa...
Long way back nilipitaga asubuhi na kulikua na ukungu dah....
Best moment ever...
Na slow songs zangu
Na vile vikonakona mpaka unajiskia upo duniani😂
Kanyimbo kalikua ka 2pac bhana..
Dear mama😂😂
Afu mida ya saa 2 hivi
Kamvua ka kishkaji hvi watu na lowlight zao
Bongo kama ulaya😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…