Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Mungu tu hutuokoa
 
Volvo limiting top speed
Volvo announced on Monday that it will be limiting the top speed on all of its vehicles to 180 km/h (112 mph) in a bid to reduce traffic fatalities. The new speed limit will be implemented on all model year 2021 cars, the company said
 
Kwa wale wapenda speed kubwa above 180km/hr mmeambiwa your only MECCA ni Germany autobahn.
 
Ndio hawa nilikuwa nawasema! Tutaenda kutoa hizo limiter mtaani
 
Daah gari za magazeti ni habari nyingine mkuu. Weekend iliyopita nimetoka dar saa 5 usiku tumefika mbeya mjini saa 2.30 asubuhi. Na hapo jamaa analalamika kachelewa kwa sababu kuanzia iyovi mpaka tunafika mbeya ni mvua na ukungu kwa baadhi ya maeneo.
 
Volvo zilikua zinasifika kwa kua world's safest cars
Kwa miaka mingi sana,naona wanataka kuendeleza title yao.

Btw hata hizi seat belt (3 point seat belt) zilikua invented na engineer wa Volvo na hawakutaka kui patent ili iwe free kwa Ma co. Yote ya magari kwa usalama wa abiria.
 
Unaweza sana,je toka Arusha to Chato ulipita Musoma au ulirudi njia ya Singida?
 
mkuu kwa usiku nikiwa na Subaru forester au Lexus rx300 huwa natumia masaa 7 Dar-mbeya...
Daah gari za magazeti ni habari nyingine mkuu. Weekend iliyopita nimetoka dar saa 5 usiku tumefika mbeya mjini saa 2.30 asubuhi. Na hapo jamaa analalamika kachelewa kwa sababu kuanzia iyovi mpaka tunafika mbeya ni mvua na ukungu kwa baadhi ya maeneo.
 
unachoongea ni sahihi kwa 100%, maana engine ilishazingua kiasi kwamba imeveshwa nyingine. ila kwenye Lexus rx300 yenye 1MZ-FE bado ipo vizuri na ina miaka 12 sasa maana chuma ni namba A
Ulifanya sahihi sana.Subaru engine ikizingua nunua nyingine otherwise lazima mafundi wakukariri.Subaru Forester (SUV) at least model ya kwanzia 2012- kuja mbele zinazotumia Engine mpya ya FB20 at least nasikia changamoto inapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ