Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Wazee wa safari, wapi hapa?
Kuna mtu anakufanyia kitu barabarani unatamani umpige pini asimame ushuke um face.Barabarani kuna ujinga mwingi sana. Halafu aliesababisha yote hayo kaendelea na safari wala hajali nini kimewatokea.
Duh!Kwa IST si Lita 80 tu?!
Atakuwa anatembelea indicator ya kulia mwanzo mpaka mwisho wa safari. Yani hakuna kampani hapoE350 utakuwa unatuonea tu hamna ligi hapo.
Na askari uwaachie 50 ya kubrashia viatu kaama mwamba pale juuTip zao ile hela wanayopiga! Nitaanza kutoa tip
Zinakaa sehemu zipi?Kuna watu walisema hakuna crown inayofikisha hata airbag 6, nikamuambia zipo hadi zenye airbag 8 na kuna hii ingine naenda iangalia ina airbag 16.
C.c JituMirabaMinne Bavaria
View attachment 1719092
Mkuu najua unajua zinapokaa. Ila unataka kunivuruga tu hapa 😀😀😀Zinakaa sehemu zipi?
Inahitaji uvumilivu sana barabarani.Kuna mtu anakufanyia kitu barabarani unatamani umpige pini asimame ushuke um face.
Huwa natulia kwa muda mpaka adrenalie iishe then nasepa zangu. Road rage sio ishu kivile mradi nimevuka salama, not worth it.
Najisemeaga siku nikimchomekea mtu au kumfanyia kimbwanga I hope karma itamfanya naye anikaushie.
Nikifanikiwa kupita hapo, nitaulizia nitapo kwenda kuitazama hiyo gari then nitawapa mrejesho.Hapana najua
Mlangoni *4
Steering *1
Dashboard psng side *1
Pillars*4
Hizi ndio possible positions sasa 16 zinakaa sehemu gani?
Usiwasikilize madalali kama ndio fact za kitu. Mimi nimetafuta kidogo nimepata ina 7 airbags.Kuna watu walisema hakuna crown inayofikisha hata airbag 6, nikamuambia zipo hadi zenye airbag 8 na kuna hii ingine naenda iangalia ina airbag 16.
C.c JituMirabaMinne Bavaria
View attachment 1719092
sio yeye tu hata wengine hatujui walipoziweka mm nijuavyo kuna baadhi ya gari wanaongezea kwenye milango na juu kwa ndani hivyo kutudadavulia itasaidiaMkuu najua unajua zinapokaa. Ila unataka kunivuruga tu hapa 😀😀😀
Wapi hapa
View attachment 1719317
Kama Dodoma hivi??