Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Halafu eti siku zote huwa nafikiri ninyi mwafahamiana nje ya jf! Nimeona tu kimya sana ikabidi nimuulizie humu!

Acha ibaki hivyo hivyo anonymous kuwa tunajuana nje ya JF wakati habari zetu hatufahamiani.....

Nashindwa kukiri hapa, najali sana maisha binafsi (faragha) ya mtu.

Ila bado nasihi sana atokee hapa aseme yuko salama.
Mungu amlinde huko aliko, 🙏.
 

Well Msuya simfahamu, namuombea apumzike kwa amani.
Pia Mungu amfanyie wepesi Natasha akipokee kikombe alichonyweshwa, si rahisi Ila kwa msaada wa Mungu ataweza.

Kuhusu RRONDO siwezi sema lolote hapa kwamba tafahamiana ama laah.

Akili tuu iliwaza Barasa ya kuona quote ya Karma, jinsi alivyomuulizia double R aka baba Bataringaya na kuangalia last seen ni ijumaa asubuhi..... nikajiwa na hofu...

Nothing more, ni fikra tuu ndo nikjikuta naunga link ya Msuya na Baba Bataringaya kutokuonekana.
 
Haya maaee casie matata[emoji120]
 
Yeah kikubwa ajitokeze tufahamu tu kama yuko salama! Ni wengi sana wamepotea jf kwa sasa ila huwa tunawakumbuka na kuwaulizia wale ambao tunawakubali au wale ambao tumezoea sana kuona michango yao humu!
 
Jamani Karma na wale crushes wengine, marafiki wa dhati, washikaji na wapendwa wote wa RRONDO; kwa heshima na taadhima ameniomba niwaambie kuwa yeye yupo salama salmini, hana tatizo lolote kabisa. Isipokuwa tu atakuwa nje ya Jf for a while ila atarudi. Ameshukuru pia kwa upendo wenu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sijui kwanini ila mara ya kwanza nilisoma kuwa ni RRONDO ndo ameandika hii quote.

Baada ya kusoma quote ya Karma akimuulizia double R nikarudi kuangalia kumbe ni wewe shuga sukari [emoji39]....

Namuelewa anachohofia Karma.
[emoji4]

We si umetupa jongoo na tawi yake Kasinde...

Hadi unapata RR kama ni Watu8
 

Ameen[emoji847]
 
Hahaha mbona crushes dada. Naona unatuchomesha.

Daah afadhali kama yuko salama jamani. Hilo ndio la muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…