Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Kwani mnacheza kombolela?
We unafanya masihara, nahisi Karma anahofia RRONDO yuko salama?
Hajaonekana tangu ijumaa saa tatu asubuhi....
Nami nimeanza pata hofu, ni Baba Bataringaya huyu aiseeh....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mnacheza kombolela?
Mmmh[emoji15][emoji15][emoji15]duhWe unafanya masihara, nahisi Karma anahofia RRONDO yuko salama?
Hajaonekana tangu ijumaa saa tatu asubuhi....
Nami nimeanza pata hofu, ni Baba Bataringaya huyu aiseeh....
Mmmh[emoji15][emoji15][emoji15]duh
Watu na karibu nae au wenye mawasiliano yake ya simu wamcheki watupe mrejesho
Ila Rrondo si haya na yule ni mpare? Ama maybe alificha tu?Yaani naomba tuu atokee hapa aseme yuko salama....
Ila Rrondo si haya na yule ni mpare? Ama maybe alificha tu?
Hata piemuni hayuko! Ana kama wiki mbili hivi hajaingia jf!Umeamua uje umtafute kabisa [emoji81][emoji81][emoji81] mcheki piemuni huko!
Wasalimie akina chinga [emoji16][emoji16]Shukrani safari ilikamilika salama
Nimesikia sikia habari zisizopendeza kuwa anahusishwa na mtu flani sijui alipata ajali juzi picha zake zikasambaa mitandaoni. Ila siamini kama ni yeyeHata piemuni hayuko! Ana kama wiki mbili hivi hajaingia jf!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani mnacheza kombolela?
Duuh sijasikia hiyo taarifa aise yaani ndiyo nasikia kwako! Mungu wangu naomba tu isije ikawa ni yeye jamani!Kuna kijana alioa mwaka jana December amefariki sijafahamu chanzo cha kifo chake. Huyo kijana ame trend sana kwenye status za Whatsapp picha zake za harusi.
Nahisi Karma ameunganisha kutoonekana kwa RRONDO kwenye huu uzi na kifo cha huyo kijana, hata nami ndo imeniingia akilini baada ya kuona quote ya Karma akiuliza kama kuna anayejua alipo double R.
Na kwenye status hapa JF baba Bataringaya alionekana mwisho ijumaa saa tatu asubuhi....!![emoji15][emoji15]
View attachment 1765080
Hata mie nimeanza kuhofu..... is he okay....
Baba Taibali if you are around please show up....
Hizi anonymous ID saa ingine sio...
Hamna sijapata taarifa zozote yaani na wewe ndiyo umenishitua saa hizi na hizo taarifa! Uwiiii na mie ndiyo nimezidi kuogopa!Hello Karma, umepata taarifa zozote za RRONDO...!??
Kama unachohofia ndo nnachowaza, nazidi kuogopa....!!![emoji15][emoji15]
Duuh hata mimi siamini kama ni yeye! Nasikia huyo aliyefariki ni mpare!Nimesikia sikia habari zisizopendeza kuwa anahusishwa na mtu flani sijui alipata ajali juzi picha zake zikasambaa mitandaoni. Ila siamini kama ni yeye
Msuya alikua amelala tu usiku akamwambia natasha anajisikia vibaya hivi moyo unaenda mbio sana nipeleke hospitali. Natasha ndo alikua anaamka wampeleke ghafla msuya akanyooka hapohapo maskini. Huo ukunga uliopigwa hapo achaaa..Huku ni anonymous kila kitu......
Jamani naomba tuu aje atokee aseme yuko salama.
Ni watu wachache sana wanaweka wazi hadi kabila zao.
Yule ni Msuya, na akasafirishwa kwenda Arusha.
Namuonea huruma Natasha bado mdogo, mrembo. Mungu amtie nguvu, si rahisi.
Video zilionesha walikuwa marafiki labda kama waliigiza.
Sijafahamu tuu, chanzo cha mauti ya Msuya.
Heh.. niko nyumaa. Sijasikia wala kuona. Whomever he is, may his soul r.i.p[emoji26]Duuh hata mimi siamini kama ni yeye! Nasikia huyo aliyefariki ni mpare!
Turejèe hapaNitakuandalia ingine...nashindwa kuweka mapichapicha coz tulikuwa ka group wengine wamo humu.
Siyo MuhayaMsuya alikua amelala tu usiku akamwambia natasha anajisikia vibaya hivi moyo unaenda mbio sana nipeleke hospitali. Natasha ndo alikua anaamka wampeleke ghafla msuya akanyooka hapohapo maskini. Huo ukunga uliopigwa hapo achaaa..
Yes, natasha na mumewe were very good friends. Mimi kiatu chake hata sikitaki.
Katika mawazo yangu yote najuaga rrondo ni muhaya ndo maana akasema last Christmas anaenda kulia kaskazini as of hakua mwenyeji. And i thought u are dearly friends maskini. Ni kitu gani kimewafanya muwalink na huo msiba?
Si ndiyo huyo MsuyaHeh.. niko nyumaa. Sijasikia wala kuona. Whomever he is, may his soul r.i.p[emoji26]
Aiseee...Siyo Muhaya