Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ivi wadau kati ya crown athlete na ist new model ipi inawahi kuchanganya??
na ipi ina stability nzur barabarani?View attachment 1856081
images%20(4).jpg

View attachment 1856083
 
Mzee wa gari za chini.

Nakupatia picha unapanda matuta humo barabarani.

All the best.

Mungu atupe uhai na nguvu ya kutafuta pesa.
Ukweli kwenye matuta napata sana tabu.. ila barabara isiyo na matuta furaha yangu ndipo inapo lala.. na bora ukute tuta kubwa, vile vidogo alafu vikubwa lazima upige kona za upande upande .. 🙂🙂🙂🙂 hapo utashangaa ma honii piii piii kumbwe mwenzao unaepusha majanga ya kubuluza chini
 
Ist new model ni shidaaa.. inachanganya haraka sana.. hutojutia mkuu na ulaji wake wa wese inanusa tu, balance imo ya kutosna kama RR culli ya dimond na hata ndani ipo sex sana.. chukua chombo.. crown hazina balance kidogo inaanza tetema
Halafu Diamond nampendeaga hapo tu binafsi naonaga ana taste nzuri inapokuja kwenye suala la magari. Nimegundua jamaa anapenda sana SUV zilizopanda juu.

Nilikuwa naangalia ule msafara wake aliopost ig. Nimeona kumbe ana Escalades mbili, LC V8 mbili, Prado TX moja na hiyo Rolls Royce moja tukiacha ile X6 yake.

Mwenyewe Rolls Royce huwa nazielewa Cullinan sababu ni SUV. Zile sijui Wraith, Drophead, Sweptail na wenzao sijawahi zielewa maana zimekaa kama Sedan.

Yaani hata tukija kwenye simu huwa ananikosha maana pia nimegundua ni mtumiaji mzuri sana wa Samsung. Sijawahi muona akihangaika na hizi iPhone and co.

Nimeona umemtetea sana kwenye zile nyuzi zinazohusu hiyo mashine mpya aliyoinunua. Jamaa yuko vizuri sema basi tu wabongo tuna roho za chuki na husda.
 
Back
Top Bottom