Hiyo VX ni used au mpya?Kidude kidogo chenye bei ya VX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu hagusiki wala kukaribiwa, hiyo chuma bei yake kwanza sio ya kitoto
Golf 7 R zina version tofauti, zipo zina bei kubwa kuliko VX kabisa piaHiyo VX ni used au mpya?
2020 Golf R brand new $55,000.
Naweza kuziona boss?Golf 7 R zina version tofauti, zipo zina bei kubwa kuliko VX kabisa pia
ndio zinaonekana boss wanguNaweza kuziona boss?
na zipo zenye bei zaidi ya hiyo
Kwa Mara ya kwanza jamaa nakuona unatumia emoj tena za kucheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa hapa Dar tu mkuu kitu namba DWW 😎😎😎 zina ka satelite mkuu.. gari sijui kuna nini unaiona 360° unaiona kila mahala.. ila nimeboreka ile gari kuipa 260kmh wamefanya ukatiri kabisaLong trip or around Dar?
Nilikosa neno la kusema.Kwa Mara ya kwanza jamaa nakuona unatumia emoj tena za kucheka.
Gari chache sana zinafika above 260kph.hapa hapa Dar tu mkuu kitu namba DWW [emoji41][emoji41][emoji41] zina ka satelite mkuu.. gari sijui kuna nini unaiona 360° unaiona kila mahala.. ila nimeboreka ile gari kuipa 260kmh wamefanya ukatiri kabisa
Gari za mzungu nyingi sana zina 280, 300kmh kawaida sanaaa.. mjapan ni mkatili tuGari chache sana zinafika above 260kph.
Mimi ni mwiko kubeba abiria siwei fanya hio kitu. Niko radhi niwe peke yangu one man army. siwezi kubeba mtu safari ndefu simjui. Never.
Nikupe lift mie nasafari ya bukoba 😎😎Mkuu nikiomba lift haunipi?
mkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono [emoji41][emoji41] hana mwiba ni minofu tu