Nikupe lift mie nasafari ya bukoba [emoji41][emoji41]
[emoji23]Nilikosa neno la kusema.
ndio tunatokea Dar mkui, tunapiga tunalala dodoma, then chwaap tunalala kahama alafu chwaap hadi hukobaba 😊😊Kutokea Dar?
Basi tushaonana hujawai ona mtu ana kitambi cha kipekee 😊😊 .. Kesho nishtue basi tuje kula vitu vitamu vitamuHuwa nashinda sana ney09
Tutakuwa tunapishana
unamkubali mwaisaaaa 😊😊[emoji23]
Sawa, nimefurahi kuona emoj zako ..
Huwa naona uko serious muda wote...ila nakukubali sana mwamba.
ameniambia sikuwa nikiwa na trip ya chap dodoma ataniazima nioneshe makali na sura.... yani najua nachopanga moyoni mwangu ni siri tu😂😂😂😂Subiri upate trip uende nalo.
Sana tu Kwenye huu uziunamkubali mwaisaaaa [emoji4][emoji4]
ndio tunatokea Dar mkui, tunapiga tunalala dodoma, then chwaap tunalala kahama alafu chwaap hadi hukobaba [emoji4][emoji4]
Basi tushaonana hujawai ona mtu ana kitambi cha kipekee [emoji4][emoji4] .. Kesho nishtue basi tuje kula vitu vitamu vitamu
Golf R ile.....
View attachment 1894982
😀😀😀😀😀 unaweza paki gari ukaipasua pasua kwa hasira una 240kmh alafu unapitwa kama upo na 180kmh ... VW sio za mchezo mchezo. hiyo nimeona hata kwenye VW Scirocco jamaa yangu alinipa town trip acha kabisaa sijui wana mfumo gani kwenye gari zaoGolf R ile.....
View attachment 1894982
Na muandiko wako unafanana kabisa na EX wangu.. kesho lazima tuonane tule raha 😎😎Ukute ni ex wangu
Ndo Ana kitambi very unique [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jioni saa moja nitakuwa kwa Ney
Sura ya nne mstari wa saba kifungu b 😁😁😁Naona shughuli za uvuvi zimechukua sura mpya 😂😂😂
Inasema, Unavua dar maandalizi pwani kisha mlo ni mji kasoro😄Sura ya nne mstari wa saba kifungu b 😁😁😁
Hivi unajua bado nacheka kila nikiiona hii ID ... Nakumbuka ulichokisema ule uzi wa story kule... Sikutegemea kabisa 😂Na muandiko wako unafanana kabisa na EX wangu.. kesho lazima tuonane tule raha 😎😎