Kuna Nissan GTR wameitune mpaka 1600hp.Hii hapa RS6 inacheua 1000HP
View attachment 1911690
Hivi unajua ndio naelewa sasahivi? 😂 uwiii hiyo kibao inayo'direct maji chumvi huko me sifahamu.Kwanini panaitwa maji chumvi[emoji848]
Hapo ni pande zipi Mkuu?
Cate hotel, Morogoro.Hapo ni pande zipi Mkuu?
Hiyo passo hapo pembeni ndo ume pack Mkuu?View attachment 1914310
Midnight [emoji41]
Mkuu mbona hiyo uliyo'quote yenyewe inatembea? Angalia vizuri.Hiyo passo hapo pembeni ndo ume pack Mkuu?
Huogopi usiku mtt mzuri?View attachment 1914310
Midnight 😎
Imekaa kama AmazonBy 4
TX
Hahahah mtt anadai na wasio pisi kali wazingatiwe jamani😅
Umeme huu!
Huwez kuwa serious😅Sijui hata nilikwama wapi![emoji1751]
Siku nilizokuwa free nilizitumia kulala tu.,
Nikawa naogopa kupotea,,,hapa nilipo nikienda kkoo au posta mwenyewe napotea.