Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ihonge heheheh... nimepata dawa yako by the way. Inaitwa baileys iko kwenye fridge inapoa tu. Jiandae kulewa soon.
Basi itabidi kununua power bank za kuchajia magari, maana Saizi wameanza tabia ya kukata umeme kila wakijisikia.Huo huo
Niuzie Crown ile kuna million 3.5mKimeumana...Lita moja 2,511 kwa Dar!
Heheheh kimeumana, ukiagiza V12 machine ujiandae kisaikolojia 😅Hatari juu ya hatali.. mikoani mwishoni huko wanaelekea 2600+
Huko ndo kutakuwa kimbilio la wengi.....na mambo ya kubeba viroba vya zawadi yatapungua na kwa wapenda sound itabidi wafunge zile subwoofer za chini ya sitiSasa itabidi kuhamia kwenye mfumo wa gesi, ukifungua buti ni mwendo wa mitungi ya gesi.
Hao wenzetu tuwaache tu mkuu tusijilinganishe nao kabisaWenzetu wanatumia Biofuel inayotoka kwenye molasses za Viwanda vya sukari, uchafu wa Viwanda vya vyakula.
Sisi Chemistry yetu tunatumia kumix Energy/Soda na Kvant.
Wenzetu wako mbali Mkui bajeti ya wizara ya ulinzi ni zaidi ya trillion 500 za kitanzania,! Kwa sasa Ina bidi kufunga gesi hakuna namna sasa ukipinga mzinga na ma gesi hayo sijui itakuwaje?!Hao wenzetu tuwaache tu mkuu tusijilinganishe nao kabisa
Kwanza unaambiwa umeme unaotumika US kwa siku moja ni sawa na umeme unaotumika TZ kwa miaka saba imagine
Hao tuwaache tu tusihangaike hata kukimbizana nao maana walishatuacha mbali zamani sana
Kweli saizi umeme wetu umeanza kukatika ovyo,gesi wameongeza Bei wanakaba man to man.Hao wenzetu tuwaache tu mkuu tusijilinganishe nao kabisa
Kwanza unaambiwa umeme unaotumika US kwa siku moja ni sawa na umeme unaotumika TZ kwa miaka saba imagine
Hao tuwaache tu tusihangaike hata kukimbizana nao maana walishatuacha mbali zamani sana
Acha tu mkuu halafu eti watu kama hao ndiyo tunataka kutunishiana nao misuliWenzetu wako mbali Mkui bajeti ya wizara ya ulinzi ni zaidi ya trillion 500 za kitanzania,! Kwa sasa Ina bidi kufunga gesi hakuna namna sasa ukipinga mzinga na ma gesi hayo sijui itakuwaje?!
Acha tu mkuuKweli saizi umeme wetu umeanza kukatika ovyo,gesi wameongeza Bei wanakaba man to man.
No hurry in Africa.Acha tu mkuu
Nimekumbuka niliwahi sikia kuwa nchini Japan kuna siku umeme ulikatika kwa lisaa limoja
Waziri wa wizara husika akainama mbele ya viongozi wenzie na baadhi ya wananchi kwenye mkutano kama ishara ya kuomba msamaha kwa umeme kukatika
Aliinama kwa muda ambao umeme ulikatika yaani lisaa limoja
Wabongo wakasema waziri wetu wa nishati naye angesema ainame kwa muda wote ambao umeme umewahi kukatika Tanzania tangu aingie madarakani si angeinama hadi anakufa
Alieturoga kafa!No hurry in Africa.
Bajeti yao ya ulinzi ni $600bn. Sawa na Tsh. 1.3 quadrilion.Wenzetu wako mbali Mkui bajeti ya wizara ya ulinzi ni zaidi ya trillion 500 za kitanzania,! Kwa sasa Ina bidi kufunga gesi hakuna namna sasa ukipinga mzinga na ma gesi hayo sijui itakuwaje?!
Sema nini ma V12 hayali mafuta mkuu ni woga wetu tuu 😂😂😂😂Heheheh kimeumana, ukiagiza V12 machine ujiandae kisaikolojia 😅
Safari njemaDom to muleba Maombi yenu wakuuView attachment 1920354