Hawajitambui kabisa hawa jamaa๐ RIP Magufuli!Kilio kimesikika...bei mpya zimesitishwa! Kumbe wanapandisha bila kujua kwanini wanapandisha!
Kilio kimesikika...bei mpya zimesitishwa! Kumbe wanapandisha bila kujua kwanini wanapandisha!
Wakati bei inapanda mwanzo tuliambiwa bei ya dunia imepanda hadi $100 per barrel, sasa bei iko $71 na bei wakapandisha!
Haya ndo kama yale mambo waliyokuwa wanatuaminisha crown hainywi mafuta kwa kuwa ina umeme mwingi๐๐๐matokeo yake ndo tunayaona sasaSema nini ma V12 hayali mafuta mkuu ni woga wetu tuu ๐๐๐๐
Umeme mwingi c ndio eeh![emoji23][emoji23][emoji23]Sema nini ma V12 hayali mafuta mkuu ni woga wetu tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakina Porsche/Audi kwenye injini zao za V12 Wana option ikiwa kwenye speed ndogo baadhi ya piston zinakuwa hazifanyi kazi,ukiongeza speed zitafanya kazi zote.Umeme mwingi c ndio eeh![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha yanakula mtori sio๐ au ndio yale ya gari ikiwa na engine kubwa haili mafuta sababu ina powerSema nini ma V12 hayali mafuta mkuu ni woga wetu tuu ๐๐๐๐
Kiswahili cha kenya kimeshatuathiri watanzania wengi aiseeMkuu tulishaambiwa tuna demadema,sijui maana yake hata ni nini?labda ndio kuyumba yumba.
Wanatengeneza tatizo na kulitatua.Kilio kimesikika...bei mpya zimesitishwa! Kumbe wanapandisha bila kujua kwanini wanapandisha!
mkuu teknolojia tu inafanya ma V12 yasile wese jingoi.. kama pesa ipo unavuta hiloo mzeee ๐๐๐๐Hahahahaha yanakula mtori sio๐ au ndio yale ya gari ikiwa na engine kubwa haili mafuta sababu ina power
Umeme kama woteee pale mafuta ina busaa tu ile kama tunavyo busaga wengine ugoro, chafya lake baraaa sasaaa.. nazo zina nusa ila nguvu yale ni shida inayotoka hapo ๐๐๐Umeme mwingi c ndio eeh![emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho ni Cha Zenji yakheeee.Kiswahili cha kenya kimeshatuathiri watanzania wengi aisee
๐ณ๐ณ๐ณ Crown Hybrid ni umeme inanusa kiwese, ila hizi Crown kavu kavu.. zinatumia mafuta vizuri tuuu labda kama upo safariniHaya ndo kama yale mambo waliyokuwa wanatuaminisha crown hainywi mafuta kwa kuwa ina umeme mwingi๐๐๐matokeo yake ndo tunayaona sasa
Wapigi dili watatuaaa ๐๐Wakati bei inapanda mwanzo tuliambiwa bei ya dunia imepanda hadi $100 per barrel, sasa bei iko $71 na bei wakapandisha!
alafu haya mafuta kabisaaa ๐ ๐ ๐ , sema hatuna mipunga ya kununua hizo gari tunasakikizia weseWakina Porsche/Audi kwenye injini zao za V12 Wana option ikiwa kwenye speed ndogo baadhi ya piston zinakuwa hazifanyi kazi,ukiongeza speed zitafanya kazi zote.
wapiga dili kaziniKweli saizi umeme wetu umeanza kukatika ovyo,gesi wameongeza Bei wanakaba man to man.
mkuu umenibania liftDom to muleba Maombi yenu wakuuView attachment 1920354
๐๐๐๐๐ maana yake ndio hii hii tunayo iishiMkuu tulishaambiwa tuna demadema,sijui maana yake hata ni nini?labda ndio kuyumba yumba.
๐๐๐ basi tujiandae kwa yajayo mkuu.๐๐๐๐๐ maana yake ndio hii hii tunayo iishi