Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Asante tunashukuru[emoji3]Nimeanza kukimbiza gari hovyo mjini. Mguu unawasha
Ukipita hii mitaa naomba unipitishie yale macho manne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante tunashukuru[emoji3]Nimeanza kukimbiza gari hovyo mjini. Mguu unawasha
Dom to muleba Maombi yenu wakuuView attachment 1920354
Mkuu, hiyo spacio niile ya cc 17..cc vp ukikimbia zaidi ya 140 kph? Iko comfortable au? Naziona Kama nyepesi hivi kweNye mwendo!?Ni spacio 1nz nimetembea kl 944 nimeweka mafuta ya 195000
Leo mbona sijafunika kisahani nilikuwa natembea wastani wa 120 mpk 140mguu wako mkuu ndio umefanya wese linyweke[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni ya 1470 mkuu mbona ipo poa tu kiatu kiatu mwanzo mwisho.Mkuu, hiyo spacio niile ya cc 17..cc vp ukikimbia zaidi ya 140 kph? Iko comfortable au? Naziona Kama nyepesi hivi kweNye mwendo!?
Vp upande wa ground clearance? Rough road haikupi usumbufu?
Rough road?Vp upande wa ground clearance? Rough road haikupi usumbufu?
Nataka kujua pale anapoendesha mtaani kweNye rough road gari haimpi shida,? Naiona iko chini Sana.Rough road?
Labda kama alipitia karagwe-benaco, lakini kama aliingia lusahunga pale ni mwendo wa tarmac road
Niliwahi kusafiri nacho karatu-mbulu-babati kutokezea mbuyu wa mjerumani pale magalaNataka kujua pale anapoendesha mtaani kweNye rough road gari haimpi shida,? Naiona iko chini Sana.
Last week nilikua geita kule Toyota wish ndo wamezifanya daladala mtaani nimeshangaa Sana halafu wanazitunza balaa mbele kule ziko vizuri kabisa na hazijapondeka mbele na Zina piga ruti za rough road humu jukwaa zinaitwa kenge mara nyoka na zinapondwa hatari humu jf.Niliwahi kusafiri nacho karatu-mbulu-babati kutokezea mbuyu wa mjerumani pale magala
Kipo comfotable, hakina makeke
Sasa sisi wa Crown utasemaje? Mbona mna overate Sana hio ground clearance,rough road?! Hizi sedan zooote nchini inamaana wanaendesha kwa shida sana?!!!Nataka kujua pale anapoendesha mtaani kweNye rough road gari haimpi shida,? Naiona iko chini Sana.
Probox piaLast week nilikua geita kule Toyota wish ndo wamezifanya daladala mtaani nimeshangaa Sana halafu wanazitunza balaa mbele kule ziko vizuri kabisa na hazijapondeka mbele na Zina piga ruti za rough road humu jukwaa zinaitwa kenge mara nyoka na zinapondwa hatari humu jf.
[emoji3]Sasa sisi wa Crown utasemaje? Mbona mna overate Sana hio ground clearance,rough road?! Hizi sedan zooote nchini inamaana wanaendesha kwa shida sana?!!!
Umepata vizuri kabisaaa naona code za town upo njema kweli 😀😀😀Kaffe Koffee.....Zambia road 😂😂😂
120 to 140 wese linanyweka tu mkuu wanguLeo mbona sijafunika kisahani nilikuwa natembea wastani wa 120 mpk 140
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa basi hata wakenya hulitumia sana hilo nenoHicho ni Cha Zenji yakheeee.
Majuzi wengine waliambiwa vyama vyao vimechambuka chambuka.Kiswahili Ni kigumu.
😄😄😄 Nilikua Sijawahi kulisikia Hilo neno kabla ya maza hajalisema mkuu.Hahaaa basi hata wakenya hulitumia sana hilo neno
Ila wazanzibar nao kiswahili chao ni habari nyingine
Maneno mengi wanayoongea kule ukiyaleta kwa tafsiri ya huku bara ni matusi