Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Niliwahi kusafiri nacho karatu-mbulu-babati kutokezea mbuyu wa mjerumani pale magala

Kipo comfotable, hakina makeke
Last week nilikua geita kule Toyota wish ndo wamezifanya daladala mtaani nimeshangaa Sana halafu wanazitunza balaa mbele kule ziko vizuri kabisa na hazijapondeka mbele na Zina piga ruti za rough road humu jukwaa zinaitwa kenge mara nyoka na zinapondwa hatari humu jf.
 
Probox pia

Zinaitwa `michomoko'[emoji3]
 
Back
Top Bottom