Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tazara Wana treni 2 za kutoka Dar- Kapiri mposhi(Zambia). Wana Express hii haisimami kila kituo Ina vituo vikubwa kutoka Dar-Tunduma pia wanayo Ordinary ambayo inasimama kila kituo kuchukua na abiria na inatumia muda mrefu kidogo Dar-Tunduma.Ndio umemaliza kuongea?. 😂 Jamani sema ni express la wapi? Ndio ilo la dk 45 Moro? Au niaje
Hivyo mtu anaweza akasafiri Dar-Ifakara/Makambako/Mbeya/Tunduma kutalii na kurudi na basi.