Unataka ufungue dimba na EAC au sio?Naisubiri namba E chuma kiiagizwe sitaki chuma kiwa na D wakati tuna sepa na kijiji π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio Kaka vipi?[emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Kama kweli vile
Hahaaa kwahiyo mkuu ukajiongeza wakati hata sikusema ni nani yawezekana ni mimi mwenyewe [emoji16][emoji16]Kwamba mshua wako haendeshwi kwenye v8 ya kazini leo. Ulihesabu hadi masaa dereva wenu avomwaga vumbi[emoji23]
Nimepata machale πππ bora tusubiri EUnataka ufungue dimba na EAC au sio?
Jamaa yangu mwenye ile scirocco anakwepa kuipa namba D hadi leo πππI thought of 2022 ila still nahisi itakuwa bado mapema kuanza E!
Na mie na jamaa yangu anaisubiri hiyo hiyo namba E yupo na VW sciroccoKuna jamaa gari ina miezi 6 sasa anasubiri namba E
Kuna jamaa gari ina miezi 6 sasa anasubiri namba E
Hahahahaha jamaa fala hataki kusajili chuma anasubiria E ianze ndio akasajili? π π π atakuwa anahonga sana maaskariJamaa yangu mwenye ile scirocco anakwepa kuipa namba D hadi leo πππ
Sijui kwanini watu wanaona namba fulani ni kitu cha maana. E nayo itakaa miaka zaidi ya 8 sasa hivi vimeo vyetu si vitakuwa vishachoka kama una nguvu unanunua gari wakati E iko kwenye EGM au EGGNa mie na jamaa yangu anaisubiri hiyo hiyo namba E yupo na VW scirocco
Watu wanaangalia initial tu kuna mtu ukimtajia ni hata kama CZZ anajua lazamani tu na ukamtajia DAA anaona mpya sana . Nawatu wanaona dili madalali ndio wame haribu vichwaSijui kwanini watu wanaona namba fulani ni kitu cha maana. E nayo itakaa miaka zaidi ya 8 sasa hivi vimeo vyetu si vitakuwa vishachoka kama una nguvu unanunua gari wakati E iko kwenye EGM au EGG
Kama Kweli E itakuwa hayo majira badi na watunza vibubu vya hela tutaweza nunua GLE kabisaaa ππππNamba E probably, May 2022
Anatoka nayo mala moja moja sana, mda mwingi naona anatumia jaguar na toyotaHahahahaha jamaa fala hataki kusajili chuma anasubiria E ianze ndio akasajili? π π π atakuwa anahonga sana maaskari
Ahaa kama Alternatives zipo hapo shwariAnatoka nayo mala moja moja sana, mda mwingi naona anatumia jaguar na toyota
Ndio starehe iliyobaki ina make sense kwangu sasa hivi ππUshakuwa chizi magari.
DXD [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa hali ilivyo sahizi ndio DXC bado tuna kipengele kirefu