What do you expect? Thats how it should be driven hence the name Royal Saloon! Hebu nisome vizuri. Rav4,Vanguard,Xtrail advantage yake ni few cm higher. Ukipita kwenye njia mbovu haitakwangua chini lakini,LAKINI maumivu ya bush na kuharibika vitu jamii ya bush viko pale pale tena hizi kili time,vanguard na xtrail ndio nyanya kabisa huko chini. Kwahio wewe ukijidanganya hubembelezi gari haitagusa chini ila maumivu yake kwenye bush utapata majibu ndani ya muda mfupi tu ndio maana ukipanda au ukiendesha hizo 'suv' zenu zinagonga kama Eicher la gongolamboto!