Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndiyo ndiyo mtaalam wao mbombevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Trip za town zaendelea mtakatifu mwenzangu 😀😀
1C884DBF-84CB-4F8E-8FF5-C1662FAB4CEA.jpeg
 
JF Raha sana. Huku tuko busy tunajadili kupiga trip,thread nyingine wako busy kujipiga selfies,thread nyingine wanajadili atokee mwanaume awape 50m watoe Tigo,huko siasani wengine wanataka kutoana macho! Yaani ni burudani! 😂😂
 
Mambo mengi muda mchache, ukiingia JF unapata burudani na unatoa stress zote.
 
JF Raha sana. Huku tuko busy tunajadili kupiga trip,thread nyingine wako busy kujipiga selfies,thread nyingine wanajadili atokee mwanaume awape 50m watoe Tigo,huko siasani wengine wanataka kutoana macho! Yaani ni burudani! [emoji23][emoji23]
Nipo mwighumbi(wapenzi wa picha samahanini sana, Sitaweza) nimetoka Maswa saa tatu kasoro hivi

Vumbi kama lote, barabara wanaikata vipande kuitengeneza, nakula mishkaki hapa na kutakasa koo

Alfajiri nianze mdo mdo kuwaletea mahitaji wana mzizima[emoji3]

Tuombeane heri..
 
All the best. Katika watu nawakubali barabara kuu ni nyinyi. Yaani nikiwapita lazima nipige kahoni na kwa uungwana wenu huwa mnajibu.
Trucks wana heshima sana,hawana papara kwasababu wanajua madude hayo ukikosea ni balaa. Truckers I salute you.
 
Chief kupitia hapa

Naomba kutoa rai kwenu watu wa vijigari[emoji3] (samahani nina asili moja na chenge)

Mkitukuta tunakaribia mizani (weigh bridge)tukiwa tumepunguza mwendo

Chonde msitukarikabie wala kutu overtake
mnatunisababishia tuingie kupima na kutupotezea muda

Nadhani sauti imesikika..
 
Kivipi mkuu?
 
Kivipi mkuu?
Oh!

Ipo hivi mizani now days ni vpn

Sina neno zuri la kiswahili[emoji23]

Nikishapima bandarini VGM, pote nitakapopita uzito upo sawa kama inavyotakikana

Kwa hiyo tuchukulie mfano pale Vigwaza, kuna mzani kabla ya mzani(sijui naeleweka?)

Ukini pita pale ule mzani utasoma gari yako na mzigo nilioubeba so far red light itawaka kunielekeza niingie wa corfirm

Lakini ukiniacha na ukanipa distance utaona wote tunanyooka bila mimi kuingia mzani

Sauti ipo sawa?
 
Back
Top Bottom