Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Asante[emoji1666]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante[emoji1666]
[emoji41]
Kwa maujanja eeeh😊😊😊
Ndiyo ndiyo mtaalam wao mbombevu.Kwa maujanja eeeh[emoji4][emoji4][emoji4]
Karibu Trip za town zaendelea mtakatifu mwenzangu 😀😀
AsanteKaribu Trip za town zaendelea mtakatifu mwenzangu [emoji3][emoji3]View attachment 1927479
Aise VW ipi na Toyota ipi mkuuWeekend trip loading....VW Vs Toyota ?
Mambo mengi muda mchache, ukiingia JF unapata burudani na unatoa stress zote.JF Raha sana. Huku tuko busy tunajadili kupiga trip,thread nyingine wako busy kujipiga selfies,thread nyingine wanajadili atokee mwanaume awape 50m watoe Tigo,huko siasani wengine wanataka kutoana macho! Yaani ni burudani! 😂😂
Nipo mwighumbi(wapenzi wa picha samahanini sana, Sitaweza) nimetoka Maswa saa tatu kasoro hiviJF Raha sana. Huku tuko busy tunajadili kupiga trip,thread nyingine wako busy kujipiga selfies,thread nyingine wanajadili atokee mwanaume awape 50m watoe Tigo,huko siasani wengine wanataka kutoana macho! Yaani ni burudani! [emoji23][emoji23]
Ma mchungaji
All the best. Katika watu nawakubali barabara kuu ni nyinyi. Yaani nikiwapita lazima nipige kahoni na kwa uungwana wenu huwa mnajibu.Nipo mwighumbi(wapenzi wa picha samahanini sana, Sitaweza) nimetoka Maswa saa tatu kasoro hivi
Vumbi kama lote, barabara wanaikata vipande kuitengeneza, nakula mishkaki hapa na kutakasa koo
Alfajiri nianze mdo mdo kuwaletea mahitaji wana mzizima[emoji3]
Tuombeane heri..
[emoji23]Ma mchungaji
Ile maneno ilienda sawa, nilivyotoka nikaulizwa 'utarudi mapema'[emoji1787]
Nadhani watasubiri mno, ila imenisadia sana[emoji3]
Chief kupitia hapaAll the best. Katika watu nawakubali barabara kuu ni nyinyi. Yaani nikiwapita lazima nipige kahoni na kwa uungwana wenu huwa mnajibu.
Trucks wana heshima sana,hawana papara kwasababu wanajua madude hayo ukikosea ni balaa. Truckers I salute you.
Kivipi mkuu?Chief kupitia hapa
Naomba kutoa rai kwenu watu wa vijigari[emoji3] (samahani nina asili moja na chenge)
Mkitukuta tunakaribia mizani (weigh bridge)tukiwa tumepunguza mwendo
Chonde msitukarikabie wala kutu overtake
mnatunisababishia tuingie kupima na kutupotezea muda
Nadhani sauti imesikika..
Oh!Kivipi mkuu?