Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeenda chuo na gogo aseeeHahaa i doubt kama na wewe kweli ni wa "enzi hizo"
Jana nilitoka Dom saa tisa alasiri mbili na nusu usiku nipo Msasani nakula monde spacio ilikuwa inashinda mpk na vx[emoji23]Nipo dom sahv jana nimeingia nikitokea iringa speed max 150kph
Mkuu umetisha, spacio kumbe kao vizuri na kana matumizi mazuri ya mafuta.Jana nilitoka Dom saa tisa alasiri mbili na nusu usiku nipo Msasani nakula monde spacio ilikuwa inashinda mpk na vx[emoji23]
wenye majina ya Aisha huwa ni shidaaa sema hiyo namba imefutika futika hapo 😊😊😊😊 gari kama imepaki kwenye kiwanja flani hivi.. sema hapo ni msala gari ikienda home 😅😅
Mkwara huu.... sio?Weekend imepoa
Natamani nikapige vyombo.
ISO M.CodD uko wapi nikupige k-vant?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Mkwara huu.... sio?
Nitakudai.
Kwa TRL aka TRC wanaruhusu abiria mchanganyiko kwa daraja la kwanza kwa sababu huwa Kuna vitanda viwili na ndani ya chumba kuwa Kuna kabati la kuhifadhia nguo na beseni la kunawia ,ila kwa daraja la pili ambapo huwa Kuna vitanda sita hawaruhusu na chumbani mnakuwa na beseni la kunawia......ila pia Kati ya chumba na chumba isipokuwa chumba G kwa daraja la kwanza Kuna kuwa na mlango unaowaunganisha ndani kwa ndani ,inakuwa rahisi kufanyika fumanizi hivyo inapaswa kuutia lock kwa upande wakoHawaruhusu jinsia pinzani kwenye chumba kimoja yaani kwenye chumba akishaanza mwanamke tu basi abiria wengine watakaofuatia kwenye hicho chumba lazima wawe wanawake na vivyo hivyo kwa wanaume
Sijajua kwa treni hizo za TRC ila za TZR first class kila chumba kina vitanda vinne (deka za watu wawili wawili) na second class vitanda sita (deka za watu watatu watatu) na behewa moja laweza kuna na vyumba vinne ambavyo vinakuwa viko upande mmoja tu na upande mwingine ni kacorridor
Sasa ukitaka muwe wawili tu wewe na mpenzi wako ina maana mnatakiwa mlipie vitanda vyote vilivyomo kwenye hicho chumba mnachotaka kuwepo ili asije mtu mwingine kutaka kuboard humo mkishafanya hivyo wala hayuko wa kuwasumbua wala kuwafuatilia na hakuna camera
Mpaka leo first class ina vitanda viwili kwa treni zoote mbili,ya kawaida na hata ile ya deluxe ila mfumo umebadilika kidogo kwenye deluxe kwa kuongeza second sitting wagonTRC enzi hizo first class ni watu wawili mkuu
Maisha mkuu[emoji23]
Ulipotelea wapi nilitaka nikunyweshe kvant 2,3.
I was too bored this weekend.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nikate First class niende kigoma 😊😊Mpaka leo first class ina vitanda viwili kwa treni zoote mbili,ya kawaida na hata ile ya deluxe ila mfumo umebadilika kidogo kwenye deluxe kwa kuongeza second sitting wagon
😀😀😀 Bado watu wanafumania siku hiziKwa TRL aka TRC wanaruhusu abiria mchanganyiko kwa daraja la kwanza kwa sababu huwa Kuna vitanda viwili na ndani ya chumba kuwa Kuna kabati la kuhifadhia nguo na beseni la kunawia ,ila kwa daraja la pili ambapo huwa Kuna vitanda sita hawaruhusu na chumbani mnakuwa na beseni la kunawia......ila pia Kati ya chumba na chumba isipokuwa chumba G kwa daraja la kwanza Kuna kuwa na mlango unaowaunganisha ndani kwa ndani ,inakuwa rahisi kufanyika fumanizi hivyo inapaswa kuutia lock kwa upande wako
Kwa lodge na guest house inawezekana. Maana pale unaandika tarehe ulioingia na yakutoka. Sasa ikiwa saa sita usiku unaandika tarehe hiyo inyoanza alafu unatoka kesho yake.Maana inakuwa siku 2.
. Basi kila mtu ataenda saa6 usiku ili akae siku 2.
Maana kwa maelezo yake,ukiingia saa6 usiku unaweza kutoka keshokutwa yake... yaani utakaa hadi saa 4 asbh,utakaa tena hadi saa4 asbh ya kesho yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma Shycom wewe!TRC ilikuwa safi enzi zetu miaka ile tunaenda chuo na gogo enzi hizo daaah! siku matoto yanaenda chuo na ndege au gari private yana rahaaa sanaaa[emoji18][emoji18][emoji18]
Ndio naingia Maswa, natokea huko kwa wakurya[emoji23][emoji23]Kwa lodge na guest house inawezekana. Maana pale unaandika tarehe ulioingia na yakutoka. Sasa ikiwa saa sita usiku unaandika tarehe hiyo inyoanza alafu unatoka kesho yake.
Kuna la hoteli kamoja Mbezi Beach tumefanya Sana hii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Kwa lodge na guest house inawezekana. Maana pale unaandika tarehe ulioingia na yakutoka. Sasa ikiwa saa sita usiku unaandika tarehe hiyo inyoanza alafu unatoka kesho yake.
Kuna la hoteli kamoja Mbezi Beach tumefanya Sana hii[emoji23][emoji23][emoji23]