RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #9,741
Oh nimeelewa sasa. Ila tuvumiliane tu kukusindikiza nacho kipaji ujue! 😂😂😂Oh!
Ipo hivi mizani now days ni vpn
Sina neno zuri la kiswahili[emoji23]
Nikishapima bandarini VGM, pote nitakapopita uzito upo sawa kama inavyotakikana
Kwa hiyo tuchukulie mfano pale Vigwaza, kuna mzani kabla ya mzani(sijui naeleweka?)
Ukini pita pale ule mzani utasoma gari yako na mzigo nilioubeba so far red light itawaka kunielekeza niingie wa corfirm
Lakini ukiniacha na ukanipa distance utaona wote tunanyooka bila mimi kuingia mzani
Sauti ipo sawa?