Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukifika Mbeya naomba lift ya kwenda TDM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee
emoji7.png

Naomba lift,uzuri hata km imejaa,Mimi hapo mbele naenea vizuri..nina kamwili kadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupakata mama mchungaji
 
Yaani kwa mfano mtu amegonga treni na treni ikamkanyaga kwa juu.

Kwanini isiyumbe wakati itakuwa haijapita kwenye njia yake ,imepita juu ya mtu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea kaanza kukanyagwa na behewa la ngapi kama kaanza kukanyagwa na kichwa hadi yafike mabehewa ya abiria atakuwa kashakuwa chapati maana kikitoka kichwa kuna mabehewa mengine kadhaa ya mizigo yanafuatia halafu ndiyo yanakuja ya abiria

Na wakati mwingine treni kurukaruka kwa vishindo ni kawaida (kama dereva yuko spidi sana) hata kama halijagonga mtu kwahiyo mnaweza mkafika sehemu mkasikia mabehewa yanaruka kwa vishindo mkajua ni dereva anakimbiza kama kawaida kumbe ndiyo mtu kakanyagwa

Halafu lile mara nyingi cases zake ni kugonga watu usiku wa manane abiria wengi wakiwa wamelala eti mtu katoka huko kalewa zake wanzuki anaenda kulala katikati ya reli treni ikija anapigiwa honi haamki inabidi lipite naye mnakuja kupewa taarifa asubuhi mkiamka na taarifa zenyewe siyo abiria wote wanazipata ni hadi uulize na usimuliwe na staff
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti eeh!

Sauli juzi kati limemwaga watu,,,wanajazwa upepo weee mwishowe inakuja balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weee usiniambie lini hiyo aise

Binafsi sipendi kufika ninakoenda usiku yaani usiku bora unikute safarini ila siyo ndiyo nafika napenda nifike jua likiwa bado halijazama au ndiyo linachomoza

Sasa mabasi mengine yanaingia eti saa 4 na mkoa kama Mbeya saa 4 maduka mengi yashafungwa na watu wengi washajifungia majumbani mwao kunakuwa kumepooza vibaka wanaanza kazi

Bora hata Dar kidogo hata ukichelewa siyo mbaya japo nako inategemea na mitaa unayofikia

Sauli baba lao
 
Nyie semeni babalao wenzenu wanaenda kumwaga watu[emoji23]

Juzi Kati hapa lilipinduka pwani pwani huko,asubuhi na mapema.

Kawia ufike.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea kaanza kukanyagwa na behewa la ngapi kama kaanza kukanyagwa na kichwa hadi yafike mabehewa ya abiria atakuwa kashakuwa chapati maana kikitoka kichwa kuna mabehewa mengine kadhaa ya mizigo yanafuatia halafu ndiyo yanakuja ya abiria

Na wakati mwingine treni kurukaruka kwa vishindo ni kawaida (kama dereva yuko spidi sana) hata kama halijagonga mtu kwahiyo mnaweza mkafika sehemu mkasikia mabehewa yanaruka kwa vishindo mkajua ni dereva anakimbiza kama kawaida kumbe ndiyo mtu kakanyagwa

Halafu lile mara nyingi cases zake ni kugonga watu usiku wa manane abiria wengi wakiwa wamelala eti mtu katoka huko kalewa zake wanzuki anaenda kulala katikati ya reli treni ikija anapigiwa honi haamki inabidi lipite naye mnakuja kupewa taarifa asubuhi mkiamka na taarifa zenyewe siyo abiria wote wanazipata ni hadi uulize na usimuliwe na staff
Aiseee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekwambia unisubili Iyunga mama mchungaji wewe ukapotea sujui umejificha wapi tena kitu inachanja mbuga hii
Umenambia saa ngapi Jamani [emoji1751]

Kumbe ndio huwa unapiga matrip na gari kali hivyo!
Wakati wa kurudi pitia mbeya tupige pige trip tuende Tukuyu na kurudi,ili mradi tu na mimi nipande.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom