Nitakupakata mama mchungajiAisee![]()
Naomba lift,uzuri hata km imejaa,Mimi hapo mbele naenea vizuri..nina kamwili kadogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupakata mama mchungajiAisee![]()
Naomba lift,uzuri hata km imejaa,Mimi hapo mbele naenea vizuri..nina kamwili kadogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekwambia unisubili Iyunga mama mchungaji wewe ukapotea sujui umejificha wapi tena kitu inachanja mbuga hiiMjep shkamoo brother.
Naona unatembeza likes..umeninyima lift ya Mbeya tunduma[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea kaanza kukanyagwa na behewa la ngapi kama kaanza kukanyagwa na kichwa hadi yafike mabehewa ya abiria atakuwa kashakuwa chapati maana kikitoka kichwa kuna mabehewa mengine kadhaa ya mizigo yanafuatia halafu ndiyo yanakuja ya abiriaYaani kwa mfano mtu amegonga treni na treni ikamkanyaga kwa juu.
Kwanini isiyumbe wakati itakuwa haijapita kwenye njia yake ,imepita juu ya mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eh yaani mimi sijui kwanini sipendi usafiri unaochukua muda mfupi njiani hasa kama huo usafiri ni luxuriousShort trip hutoenjoy, dar to tunduma unakaa buffet unafyonza vyupa mwanzo mwisho[emoji39]
Weee usiniambie lini hiyo aise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti eeh!
Sauli juzi kati limemwaga watu,,,wanajazwa upepo weee mwishowe inakuja balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie semeni babalao wenzenu wanaenda kumwaga watu[emoji23]Weee usiniambie lini hiyo aise
Binafsi sipendi kufika ninakoenda usiku yaani usiku bora unikute safarini ila siyo ndiyo nafika napenda nifike jua likiwa bado halijazama au ndiyo linachomoza
Sasa mabasi mengine yanaingia eti saa 4 na mkoa kama Mbeya saa 4 maduka mengi yashafungwa na watu wengi washajifungia majumbani mwao kunakuwa kumepooza vibaka wanaanza kazi
Bora hata Dar kidogo hata ukichelewa siyo mbaya japo nako inategemea na mitaa unayofikia
Sauli baba lao
Aiseee!Inategemea kaanza kukanyagwa na behewa la ngapi kama kaanza kukanyagwa na kichwa hadi yafike mabehewa ya abiria atakuwa kashakuwa chapati maana kikitoka kichwa kuna mabehewa mengine kadhaa ya mizigo yanafuatia halafu ndiyo yanakuja ya abiria
Na wakati mwingine treni kurukaruka kwa vishindo ni kawaida (kama dereva yuko spidi sana) hata kama halijagonga mtu kwahiyo mnaweza mkafika sehemu mkasikia mabehewa yanaruka kwa vishindo mkajua ni dereva anakimbiza kama kawaida kumbe ndiyo mtu kakanyagwa
Halafu lile mara nyingi cases zake ni kugonga watu usiku wa manane abiria wengi wakiwa wamelala eti mtu katoka huko kalewa zake wanzuki anaenda kulala katikati ya reli treni ikija anapigiwa honi haamki inabidi lipite naye mnakuja kupewa taarifa asubuhi mkiamka na taarifa zenyewe siyo abiria wote wanazipata ni hadi uulize na usimuliwe na staff
TRC enzi hizo first class ni watu wawili mkuuBasi siku hizi wamebadilisha
First class kila chumba ni vitanda vinne na second ni sita
Hata hivyo wanasema haya ni mabehewa mapya ya zamani yalichakaa sasa sijui ndiyo hayo yalikuwa na vitanda viwili
😎😎 mabaharia achana nao 😂😂😂
lodge sawa ila sio hotelYan Anne ameweka hesabu za kwenye Lodge kwamba hata ukiingia 11 alfajiri jua hela yako itaisha saa 4 asbh.
Umenambia saa ngapi Jamani [emoji1751]nimekwambia unisubili Iyunga mama mchungaji wewe ukapotea sujui umejificha wapi tena kitu inachanja mbuga hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakupakata mama mchungaji
Hivi na wewe ni baharia?[emoji41][emoji41] mabaharia achana nao [emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃😃😃😃😃 haya bwanaHivi na wewe ni baharia?
Nimekuweka kundi moja na wanafunzi wake Yesu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nasema uongo ndugu yangu Holy Man ?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] haya bwana
lodge sawa ila sio hotel
Unasema kweli kabisa mtakatifu mwenzangu
MtoeHivi na wewe ni baharia?
Nimekuweka kundi moja na wanafunzi wake Yesu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44]Mtoe
Kwa herufi kubwa... Tena sijui nibold kabisa