Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Gwami ndio wapi ? sipajui hapo sijawai lala cheki kale ka hotel ninakonlalaga kwanza ile mwisho ni saa sita mchanaGwami pale mbona nao wale wale tu? Au hotel uchwara ile?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwami ndio wapi ? sipajui hapo sijawai lala cheki kale ka hotel ninakonlalaga kwanza ile mwisho ni saa sita mchanaGwami pale mbona nao wale wale tu? Au hotel uchwara ile?!!
😁😁😁😁😁 sunday school
Msamvu..MoroGwami ndio wapi ? sipajui hapo sijawai lala cheki kale ka hotel ninakonlalaga kwanza ile mwisho ni saa sita mchana
Unalala msamvu eeeh ... haya 😀😀😀Msamvu..Moro
Sasa bablai ile ni another level kwa kweli.
Nikiokota hela nitaenda kupitisha usiku mmoja pale 😂
Niko mby mafiat hapa natafuna mdudu savoy bar[emoji847]Wewe upo mkoa gani nikuambie sehemu nilipo kwenye huo mkoa?[emoji23]
Ukiona hivyo jua hiyo sehemu niliwahi kuishi,,mtu akishaitaja sehemu niliyowahi kuishi huwa nafurahi sana na narewind matukio ya nyuma niliyoyaexperience hiyo sehemu.
Najikuta naandika chochote ili tu nifurahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sogea hapa city pub,ni nyuma ya century plaza,nipo napiga kvant hapa mkuu.Niko mby mafiat hapa natafuna mdudu savoy bar[emoji847]
Mnanihamasisha kupita Singida.
Zile Scania na Mercedes Benz wewe usifananishe na hizi YutongNyie semeni babalao wenzenu wanaenda kumwaga watu[emoji23]
Juzi Kati hapa lilipinduka pwani pwani huko,asubuhi na mapema.
Kawia ufike.
Sent using Jamii Forums mobile app
OohhTRC enzi hizo first class ni watu wawili mkuu
TRC ilikuwa safi enzi zetu miaka ile tunaenda chuo na gogo enzi hizo daaah! siku matoto yanaenda chuo na ndege au gari private yana rahaaa sanaaa😌😌😌Oohh
Mimi za TRC sijawahi zipanda
Hapa mawazo yangu yote unaongelea za TZR
Barabara zetu hizi na mwendo wao ni maji na mafuta.Zile Scania na Mercedes Benz wewe usifananishe na hizi Yutong
Jiulize kwanini mabasi yanayopataga sana ajali ni Yutong na Zhongtong kuliko Scania au Volvo ambayo ni mara chache kama hivyo
Na hata hivyo Sauli ana madereva wazuri na makini sana hata matraffic wenyewe wanaukubali mziki wao japo ndiyo hivyo inabidi tu wasimamie sheria za barabarani
Madereva wake wanakimbiza kila siku wanakuwa wa kwanza kufika Dar/Mbeya/Tunduma na bado mabasi yake hayali mizinga hovyo hovyo kama hayo mengine
Kuna kampuni kadhaa zinasifika kwa mabasi yake kupata ajali mara kwa mara hadi watu wanaziogopa
Hahaa i doubt kama na wewe kweli ni wa "enzi hizo"TRC ilikuwa safi enzi zetu miaka ile tunaenda chuo na gogo enzi hizo daaah! siku matoto yanaenda chuo na ndege au gari private yana rahaaa sanaaa[emoji18][emoji18][emoji18]
Siyo mbaya wacha waendelee kujitengenezea jina kwanza kitu ambacho wameshafanikiwa kwa asilimia kubwaBarabara zetu hizi na mwendo wao ni maji na mafuta.
Watu wanashangilia kwa Sasa kwa kuliita sauli "mnyama" ila wanatengeneza bomu ambalo litakuja kutugharimu hapo baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo mbaya wacha waendelee kujitengenezea jina kwanza kitu ambacho wameshafanikiwa kwa asilimia kubwa
Watakapoanza kula mizinga mfululizo ndipo watakapoanza kupunguza mwendo lakini wakiwa tayari na wateja wengi
Ila tuongee ukweli jamaa anajitahidi kwenye tasnia ya usafiri wa mabasi ya mikoani kwa upande wa nyanda za juu kusini na siyo tu "mnyama" bali pia aitwa "mwamba wa kusini" pamoja na wenzie kina Al Saedy, Kilimanjaro Express na New Force.
Enzi zipi Toto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TRC ilikuwa safi enzi zetu miaka ile tunaenda chuo na gogo enzi hizo daaah! siku matoto yanaenda chuo na ndege au gari private yana rahaaa sanaaa[emoji18][emoji18][emoji18]
enzi za TRC 😃😃😃