Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]wee muzee bhana!Nafikiri nitaondoka in one hour niwaachieni vijana mmalize usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]wee muzee bhana!Nafikiri nitaondoka in one hour niwaachieni vijana mmalize usiku.
Short trip hutoenjoy, dar to tunduma unakaa buffet unafyonza vyupa mwanzo mwisho[emoji39]Ukiamua hata kesho utalipanda [emoji23] Lile la umeme sijui lipo tayari? Dar - Moro la dk 45. Ilo chap tu unaenda na kurudi.
Mkali wa hizi kazi!Ukiingia saa 10 unatoka saa ngapi?
Hivi utaratibu huwa upoje?
Uko vizuri sana mzee wa kuvua samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kua kuanzia saa sita ucku hua ni mwanzo wa cku mpya?[emoji848]Yaani kwa mfano umeingia usiku saa9 leo,,
Si inatakiwa utoke leo saa5 asbh ,
Sasa una tofauti gani na mtu aliyechukua saa5 usiku wa kuamkia Leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji205]Kesho twende hotelin mapema uone kwa practical maana hapa theory huwezi kuelewa[emoji41]
Yan wee kila sehemu upo[emoji848][emoji849]
Umesahau kua kuanzia saa sita ucku hua ni mwanzo wa cku mpya?[emoji848]
😀😀😀 ukifika upo ndwiiii, unayumba tu.Short trip hutoenjoy, dar to tunduma unakaa buffet unafyonza vyupa mwanzo mwisho[emoji39]
Kimasihara eee 😂😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji205]
Hawaruhusu jinsia pinzani kwenye chumba kimoja yaani kwenye chumba akishaanza mwanamke tu basi abiria wengine watakaofuatia kwenye hicho chumba lazima wawe wanawake na vivyo hivyo kwa wanaumeWanaruhusu jinsia pinzani kujimix pamoja?
Kitanda si ni deka la 2pple tu?
Hamna CCTV? [emoji51]
Kuchunguliwa / kuchunguliana na majirani?
Huko vyumbani ni kupo na partition ya rooms kama hostel za shule au?
Basi siku hizi wamebadilishaFirst class mnakuwa wawili .. alafu sana kwich kwich ya kwenye treni.. miaka ya zamani ile TRC iko vizuri tulikuwa tuna enjoy sana first class maana ina wa suport kuchezesha na kupandisha mizukaaa [emoji1][emoji1][emoji1] akili zangu hatari kweli
Hahaha nilikuwa nakuzingua mkuu siko ukanda huo kwa sasaMkuu tuondoke
Sasa si ndo mwendo mnaoutaka ninyi waoga sisi wengine dereva anayekimbiza ndiye anayesifiwa hasa kama safari ni ndefu sanaKweli kusafiri ni kipaji..
Yaani dereva aanze kulibembeleza[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo mkoa gani nikuambie sehemu nilipo kwenye huo mkoa?[emoji23]Yan wee kila sehemu upo[emoji848][emoji849]
Najua huwezi kufanya hivyo.Kimasihara eee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si ndo mwendo mnaoutaka ninyi waoga sisi wengine dereva anayekimbiza ndiye anayesifiwa hasa kama safari ni ndefu sana
Hata Kama.Umesahau kua kuanzia saa sita ucku hua ni mwanzo wa cku mpya?[emoji848]
Mimi nitakuwa natoa maksi kama wakaguzi wa field.Nitakupitia kesho saa 9 alafajiri au saa kumi utaondoka saa moja jioni , practical muhimu 😅😎