Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh[emoji848]
 
[emoji38]
Wazee wa kuosha kila chombo jikoni
Tunamalizia kupika ,vyombo vyote visafi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sijui hata nimekumbuka Nini[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau ile siku tunapiga stori,
Ukiwa mwenyewe,unamaliza kupika vyombo vyote visafi.. tukawa tunasapotiana.
Imagine unaanza maisha mtoto wa mtu anakula anakurundikia vyombo[emoji38],,


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa haki ya nani tena

Yani bora nipike hata masaa manne ila mwisho wa siku nimalize vyombo vyote vikiwa visafi

Siwezi kuishi na mtu anayerundika vyombo na vile huwa sipendi kujipikilisha kila siku ndiyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…