Kweli kabisa, jana nimeondokea njia ya bagamoyo kuikwepa kibaha na mlandizi, na usiku nimeondoka saa tano morogoro natembea mdogo mdogo sina taabu kabisa hiyo ya shinyanga naweza kabisa nika kwea mwewe hadi mwanza alafu basi to shinyanga .. nikishindwa kabisa basi nitaenda tu na gari Trip yangu ya njia hiyo nilikutana na ajari kila sehemu nilipatwa sana na hofuMwisho wa mwaka huu...we have to be extra careful on our roads!
Muda wa kufunga mahesabuMwisho wa mwaka huu...we have to be extra careful on our roads!
wafanya biashara tunaanza toa sadakaa eeeh πππππMuda wa kufunga mahesabu
Eeh jiangalieni huko wazee wanataka chakula chao Decemberwafanya biashara tunaanza toa sadakaa eeeh πππππ
πππ na wataka vilivyo nona nona mwaka huu πππEeh jiangalieni huko wazee wanataka chakula chao December
Eeh wamekula msoto toka 2016 tochi zimewanyima ulajiπππ sahizi ni fungulia mbwaπππ na wataka vilivyo nona nona mwaka huu πππ
Marhabaa chauremboShikamooni!
hatari sanaaaEeh wamekula msoto toka 2016 tochi zimewanyima ulajiπππ sahizi ni fungulia mbwa
mbinafsi sana huyo πππUnatuamkia unataka kutunyima nini?!!
Halooombinafsi sana huyo πππ
uku umevaa kimini πππ na unakaa siti ya nyumaTusinyimane lift za mwisho wa mwaka.
Tutabeba bites, drinks na maji ya kupozea rejeta.
Dhambi tuUnatuamkia unataka kutunyima nini?!!
Halloo fanya mambo basi ππππ boss mtoto wa monduliHalooo
mambo kama haya ndio tunataka sasaπππSeat ya mbele. Kimguu juu ya dashboard View attachment 1966681
Keep calling me a Boss. Maybe in the future naweza kuwa π€£π€£Halloo fanya mambo basi ππππ boss mtoto wa monduli
Huyo sasa π€£π€£π€£mambo kama haya ndio tunataka sasaπππ