Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kweli kabisa mie gari la manual kama hilo li TD42 siwezi kuhangaika ku overtake wakati naona mbele hapako clear!

Gari yangu tu lazma nibust overdrive ikiitika ndio natoka mwendo wa ngiri yani rpm inaweza ikavuta mpaka 7 ikiachia mwendo wa kupepea tu dkk 0 nimerudi site! Sitanuagi kindezi bila kuona mbele
Ni lazima ujihami .sasa siku hizi magari ni mengi na njia sehemu kubwa ni nyembamba au trafik wameweka mikakati yao ya 50 au mstari wa kati.
All in all ni lazima ujihami.
 
Back
Top Bottom