Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
ukuje kwanza whatsapp nikupe mchongo Boss wa kaskazini 😀😀😀. sikupati hewani nina dili la kibabeKeep calling me a Boss. Maybe in the future naweza kuwa 🤣🤣
Nifanye mambo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukuje kwanza whatsapp nikupe mchongo Boss wa kaskazini 😀😀😀. sikupati hewani nina dili la kibabeKeep calling me a Boss. Maybe in the future naweza kuwa 🤣🤣
Nifanye mambo gani?
umekusudi bwanaa litaolo tokea na litokeee tu baharia anazamia tu 😀😀😀Huyo sasa 🤣🤣🤣
Ni lazima ujihami .sasa siku hizi magari ni mengi na njia sehemu kubwa ni nyembamba au trafik wameweka mikakati yao ya 50 au mstari wa kati.Kweli kabisa mie gari la manual kama hilo li TD42 siwezi kuhangaika ku overtake wakati naona mbele hapako clear!
Gari yangu tu lazma nibust overdrive ikiitika ndio natoka mwendo wa ngiri yani rpm inaweza ikavuta mpaka 7 ikiachia mwendo wa kupepea tu dkk 0 nimerudi site! Sitanuagi kindezi bila kuona mbele
Shangaziyoooumekusudi bwanaa litaolo tokea na litokeee tu baharia anazamia tu 😀😀😀
tuvunje protocal tuShangaziyooo
Ole wako liwe deal uchwara 😀ukuje kwanza whatsapp nikupe mchongo Boss wa kaskazini 😀😀😀. sikupati hewani nina dili la kibabe
naisubiri aseeeOle wako liwe deal uchwara 😀
Few mins to come you'll see my call.
[emoji16][emoji23][emoji23]IST zikigongana lazima watashuka vijana waliovaa vibukta
Wivu tu 🤪IST zikigongana lazima watashuka vijana waliovaa vibukta
Huu mguu naomba niutunze 10,000/- 😋Seat ya mbele. Kimguu juu ya dashboard View attachment 1966681
Huyu anapelekwa popote bila naulimambo kama haya ndio tunataka sasa[emoji39][emoji39][emoji39]
🤣 nipeleke Zenji HMHuyu anapelekwa popote bila nauli
Huu mgumu naomba niutunze 10,000/- [emoji39]
Weeee naingoja hapa kwa wakala 😎Huu mgumu naomba niutunze 10,000/- 😋
Gari haifiki na boti naogopa [emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787] nipeleke Zenji HM
What do you mean, sado yenye rubber band..ulitumia ile sado yenye rubber band? ina-handle vipi kwenye milima milima?
Hivi we upo? Nimecheka na mengi.What do you mean, sado yenye rubber band..
Mwanaume unaogopaje sasa 🤣🤣🤣Gari haifiki na boti naogopa [emoji1787][emoji1787][emoji7]
Maji yana wenyewe... juzi nimetoka kuingia na simu na key fob ya nissan kwenye swimming pool [emoji1787]Mwanaume unaogopaje sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]