[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]Same here....😛😛😛😛
hii tunaenda mzee tuunge msafara tu nitaweka vimuli muli 😀😀 ingawa nitakuacha dodomaTupige trip ya Dodoma basi next weekend
hakuna issue pale mzee baba ni kama ile ya karibu na kimara mwisho 😀😀😀😀 Oasis tamu ile ya mwenge mzee babaOasis Orxy ya Victoria pametulia sana Ile location. Sijui kama Kuna vichangamsha macho hata samaki wa Aquarium.
Sina nyumba , tupo mie na wewe tunaolala juu ya miti[emoji38][emoji38]
Humu kila mtu ana gari na nyumba.
Sijui hata nakwama wapi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee ndugu yangu, yaani nimetamani sana hiyo trip ila nitakuwa Kusini kwa muda usiojulikana dah. [emoji17][emoji17]Tupige trip ya Dodoma basi next weekend
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina nyumba , tupo mie na wewe tunaolala juu ya miti
Oohh mimi karibu kila siku lazima nipite huko. Enjoy your weekend mkuu.
Kusini nitakuja baada ya kutoka dodoma nitakaa huko kama wiki mbiliAiseee ndugu yangu, yaani nimetamani sana hiyo trip ila nitakuwa Kusini kwa muda usiojulikana dah. [emoji17][emoji17]
mikoa ya kusini kuna kitu hakipo sawaNina miaka zaidi ya mitano sijafika kusini. Nasikia barabara imeanza kuharibika?
Nimepita hapo muda si mrefu nikitokea oryx ya bahari beach
Tumepishana mkuu ndio naingia hapa Oryx mda huu.Nimepita hapo muda si mrefu nikitokea oryx ya bahari beach
Hapo ni kwa ajili ya kahawa tuu au na kufanya utalii wa ndani😀😀😀Tumepishana mkuu ndio naingia hapa Oryx mda huu.
Tunaunda mazingira tu 😀😀Hapo ni kwa ajili ya kahawa tuu au na kufanya utalii wa ndani😀😀😀
nipo kwenye foleni ya makongo kuitafuta mwenge ,ni kipande kinachokera sana mida ya jioni haswa kwa siku za weekend