Acha! Mara mbili aiseee!Kivipi mkuu? Wamekudaka mara mbili?
Ungemuambia na wewe ni EscortAcha! Mara mbili aiseee!
Moja maeneo ya Kongowe, nyingine baada ya Kibaha kwenye barabara hizi mpya. Nimenogewa na barabara nikiongozana na Veite!
Veite limepita, Mimi nikadakwa! Traffic ananiambia ati unakimbizana na Escort!
Pale kuna Kahawa na Petrol unachagua wataka niniDuh nyie watu Oryx kuna nini? Ni petrol hii hii au?
Mkopo je?Nipeni ela mkale sikukuu...
23m, Manual. Ina siku 3
View attachment 1992979
View attachment 1992980
View attachment 1992981
View attachment 1992982
JamaniHahahaha
Hivi mkopo unakuaje?
Jamani
Weuweee!We nitakupa bure
Sasa Mangi kuhesabiwa utaenda na nini? Nenda nayo Kwanza ukirudi iuze 😂😂Nipeni ela mkale sikukuu...
23m, Manual. Ina siku 3
View attachment 1992979
View attachment 1992980
View attachment 1992981
View attachment 1992982
Mbona kama mitaa ya kwetu!!
Ha ha! Ningekuwa na gari la kufanania nalo kweli!Ungemuambia na wewe ni Escort
si una volvo xc90 au sio weweHa ha! Ningekuwa na gari la kufanania nalo kweli!
Ha ha! Sasa hilo halifananii na Veite. Labda ningekuwa na X5 au X3 kama zile za Escort wakati wa Vasco da Gama.si una volvo xc90 au sio wewe
Hamna ujasiri tuHa ha! Sasa hilo halifananii na Veite. Labda ningekuwa na X5 au X3 kama zile za Escort wakati wa Vasco da Gama.
Sasa Mangi kuhesabiwa utaenda na nini? Nenda nayo Kwanza ukirudi iuze [emoji23][emoji23]