Jamaa walikuwa wamesimama sita barabarani. Ujasiri hapo ilikuwa kuwagonga wote. Ndiyo ujasiri huu unaousema?Hamna ujasiri tu
Unawaambia force number ya uongo na kweli huku upo chap chap 😀😀😀.. waambie kazi maalumu.. port huku gari inaendelea unawasha na hazardJamaa walikuwa wamesimama sita barabarani. Ujasiri hapo ilikuwa kuwagonga wote. Ndiyo ujasiri huu unaousema?
HayaNjoo barabarani nitakuona nikirudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa walikuwa wamesimama sita barabarani. Ujasiri hapo ilikuwa kuwagonga wote. Ndiyo ujasiri huu unaousema?
Naona umeanza trip zako nje ya mkoa......au ulikuwa unafanya mazoezi tuuwapo mbezi mwisho stand na tochi yao
Nipo chalinze hapa sijui hata naenda wapi 😀😀😀😀 ila jioni nitakuwa oryxNaona umeanza trip zako nje ya mkoa......au ulikuwa unafanya mazoezi tuu
Hiyo audi yako inatumia cng?😀😀😁😁Nipo chalinze hapa sijui hata naenda wapi 😀😀😀😀 ila jioni nitakuwa oryx
Nipo Lugoba naelekea bagamoyoHiyo audi yako inatumia cng?😀😀😁😁
Nipo hapa msata sasa hiviKama una hamu kuzurula piga Dar-Msata kupita Bagamoyo... Morogoro road miyeyusho
wametuvunjia mabanda yetu sasa tufanyaje 😌😌😌Kwahio unazurula tu
Sasa kutoka hapo Msata hadi Masuguri sijui pamekaa vizuri sana kutoa carbon!Nipo hapa msata sasa hiviView attachment 1995946