Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Uzuri hazimwagiki kizembe zembe 🤣🤣🤣Benz imekaa too official japo zina nguvu sana.
Ninao wafahamu wengi wanaotumia benz hawana mambo mengi.
Kwa matumizi ya holy man, benz ni over kill.
Ile E350?Hivi karibuni mashusha Mercedez Benz aseee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. German ambazo mwisho kabisa kwangu ni BMW
Ndio mkuu wangu .. chombo hatari hii nime ivutia subira toka kitamboIle E350?
Jana nimeona audi mcity DW nikakuwazaNdio mkuu wangu .. chombo hatari hii nime ivutia subira toka kitambo
Haipo mkononi mwangu tena 😀😀😀.. tunaenelekea kwa BenzJana nimeona audi mcity DW nikakuwaza
Mashallah mkuuHaipo mkononi mwangu tena [emoji3][emoji3][emoji3].. tunaenelekea kwa Benz
Tunausoma mchezo taratibu tukiwa benchi.Mwanangu Offshore Seamen tupo semester ya kwanza, tunaweka movie 😀😀😀😀😀 baada ya safari za hapa na paleView attachment 2011861
Duh!Kuna wakati naona polisi ni watu wenye ubongo wa mbuzi na reasoing ya kondoo.
Dereva wa lori ametoa kichwa akampa body apambane nalo.
Mwenye makosa ameonekana wazi kabisa.View attachment 2012759View attachment 2012760View attachment 2012761
Kuna wakati naona polisi ni watu wenye ubongo wa mbuzi na reasoing ya kondoo.
Dereva wa lori ametoa kichwa akampa body apambane nalo.
Mwenye makosa ameonekana wazi kabisa.View attachment 2012759View attachment 2012760View attachment 2012761
Eeeh!![emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikia hapa dereva wa lori ndio kaonekana na makosa
Mbeya mkuu.wapi hii?
Sasa hapa walikuwa wanashindana hao polisi? Yaani ilikuwa ligi ya police bus?Kuna wakati naona polisi ni watu wenye ubongo wa mbuzi na reasoing ya kondoo.
Dereva wa lori ametoa kichwa akampa body apambane nalo.
Mwenye makosa ameonekana wazi kabisa.View attachment 2012759View attachment 2012760View attachment 2012761
Na hio mistari si inazuia ovateki?Kuna wakati naona polisi ni watu wenye ubongo wa mbuzi na reasoing ya kondoo.
Dereva wa lori ametoa kichwa akampa body apambane nalo.
Mwenye makosa ameonekana wazi kabisa.View attachment 2012759View attachment 2012760View attachment 2012761