Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hehe kwamba akina Sauli wafike saa 12 halafu kina Rungwe wafike saa 4 ukasemage wanapishana muda wa kusimama vituo tu? Hebu piga mahesabu hapo tofauti ya hayo masaa na muda wanaopishana kusimama kwenye hivyo vituo!

Au wewe ulitaka yakiwa barabarani uone yanakimbia kama ma V8 ndiyo useme yanakimbia? Hapo tofauti hauwezi kuiona bali muda wa kufika ndiyo unayatofautisha haya mabasi yaani wanafanya wafanyavyo mradi saa 12 wamefika!
[emoji38]
Nadhani nilitarajia kuona mwendo mkali Mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu Offshore Seamen tupo semester ya kwanza, tunaweka movie 😀😀😀😀😀 baada ya safari za hapa na pale
A16EC6EC-9909-4822-A133-42B3EBFD5062.jpeg
 
Back
Top Bottom