Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji38][emoji38][emoji38]Eeh, u gotta live real mamii. Uwe wewe. Ni kama traffic tu. Anakusumbua sumbua na speed. Next time unamuingiza kwenye tyre tu unatembea.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe ni Mmachame?!😛😎Eeh, u gotta live real mamii. Uwe wewe. Ni kama traffic tu. Anakusumbua sumbua na speed. Next time unamuingiza kwenye tyre tu unatembea.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Karibuni mwanza huku ni warwa nyoo na nyama! View attachment 2033711
Duh 10,000 ni mwendo wa Lita 3 tu!Karibuni mwanza huku ni warwa nyoo na nyama! View attachment 2033711
Southern circuit (Dsm - Lindi - Mtwara- Masasi - Tunduru - Songea- Mbamba Bay - Ludewa - Njombe - Makete - Mbeya - Makambako - Mafinga - Iringa - Morogoro - Chalinze - Dsm)!!!Hahaaa kimya sana kaka mkubwa. Mie najiandaa na trip ya southern circuit.
Hii RwandaKWenu wapi?
Vijiwe vya kula bata havijaongezeka?Saint Anne nakaribia Mbeya, Sina mwenyeji wa kunitembeza na Kunywa nae "juice" pale carnival na pub city.
Kama vipi nipm # ya classmate wako.View attachment 2035826
Kuna Mbeya kwetu pazuri pale Sae .Vijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Safari njema mkuu.Saint Anne nakaribia Mbeya, Sina mwenyeji wa kunitembeza na Kunywa nae "juice" pale carnival na pub city.
Kama vipi nipm # ya classmate wako.View attachment 2035826