Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Kuna nyingine karibu na kabweVijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Seat 1 na uendeshaji wa hao jamaa inataka moyo!Saint Anne nakaribia Mbeya, Sina mwenyeji wa kunitembeza na Kunywa nae "juice" pale carnival na pub city.
Kama vipi nipm # ya classmate wako.View attachment 2035826
Mbeya CarnivalVijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Mimi mgumu kudaka holela holela. Fanya wepesi mdogo wangu.Safari njema mkuu.
Karibu jiji la neema[emoji4],
Kamata mwenyeji yeyote,atakutembeza.
Ni Shabiby mkuu, wapo makiniSeat 1 na uendeshaji wa hao jamaa inataka moyo!
Hahaa muwe mnaenda na huko japo mara moja moja tu siyo mbaya [emoji846][emoji846]Umetisha
Magorofa yenye lift yameongezeka?Hahaa muwe mnaenda na huko japo mara moja moja tu siyo mbaya [emoji846][emoji846]
Ili msiishie kudanganywa kuwa hadi leo hakuna vijiwe vya kulia bata na ghorofa lenye lift liko moja tu jiji zima [emoji16][emoji16]
Mpo vizuri.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
[emoji38]Mpeleke kwenye lile gorofa lenye lift
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uchoyo
Hii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Katika zote hizo..Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Ndiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magorofa yenye lift yameongezeka?
Mje tena asee [emoji2]Mpo vizuri.
Mmejitahidi.
Yeah huwa panajaa juu pako road sana [emoji846][emoji846]Hii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.
Hizo nilizotaja siyo kwamba ndiyo chimbo zote mbeya nzima bali ndizo ninazopendelea kwenda so zote ni best [emoji4][emoji4]Katika zote hizo..
Ipi unapendelea kuwepo/kwenda?
Haya hizo ndizo baadhi ya picha nilizopata [emoji16][emoji16]Angetuwekea picha unaweza kwenda ukawa disappointed bure!
Asantee. Hope wiki zangu kadhaa zitaenda poa kwenye maeneo hayo.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi