B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Okay maanake naona una latest updates za machimbo kuliko wenyeji.
Kuna VW Scirocco imeingia Bongo Leo Ina number za Singapore ipo Kwenye hizo mbili.Aah! Napumzika pia ! Nashusha gari mpya kwa mpigo mbili .. tupo uchumi wa kati mkuu๐๐
ile yenyewe ilitoka singapore inamchesha jamaa sio kitoto ๏ฟผ๏ฟผ๏ฟผ mala ipashe uji mala inywe oilKuna VW Scirocco imeingia Bongo Leo Ina number za Singapore ipo Kwenye hizo mbili.
Haha siyo sana mkuu. Mara moja moja tu sema huwa sipendi kurudiarudia viwanja, nikishaenda kwenye kiwanja kimoja mara moja au mbili basi siku nyingine nitataka nibadilishe, ni viwanja vichache sana ambavyo huwa naenda zaidi ya mara hizo.Kumbe na wewe mtu wa viwanja sana
Jamaa anapata sana taabu sasa hivi, haifurahii gari tena.. labda ikitengemaa ๐๐๐๐Hao huwa nawaambia waachane na gari za Singapore hawasikii! Zile gari wanatoa vitu wanabadili vibovu ndio wanauza.
Duh inabadilishwa majina kama nguo aseeSeven spice pia haipo inaitwa Vibe
Carnival may be chakula nothng else
Duh inabadilishwa majina kama nguo asee
Carnival yeah kwenye misosi wako vizuri
Duh inabadilishwa majina kama nguo asee
Carnival yeah kwenye misosi wako vizuri
Jamaa wabambikaji sana. Body na interior inakuwa nzuri sana ila engine na gearbox wanakubambika ikifika unaweza usifike hata nyumbani likaanza kuzingua!Jamaa anapata sana taabu sasa hivi, haifurahii gari tena.. labda ikitengemaa ๐๐๐๐
Wauza Magari ya Singapore ni waswahili wenye rangi nyeupe. Mtego wao ni kuweka leather seat, Kuna mtu alichukua Toyota Hiace Quantum yenye injini ya 1TR Kutoka Singapore ilikuwa inachemsha imekuja na tatizo katika cylinder head.Hao huwa nawaambia waachane na gari za Singapore hawasikii! Zile gari wanatoa vitu wanabadili vibovu ndio wanauza.
ningesema kilicho tokea ila acha nikaushe ๐๐๐Jamaa wabambikaji sana. Body na interior inakuwa nzuri sana ila engine na gearbox wanakubambika ikifika unaweza usifike hata nyumbani likaanza kuzingua!
Mtego wao wa Kunasia watu ni leather seat, android radio na Kuna kineno cha kimalkia wanakuandikia Immaculate Condition.Jamaa wabambikaji sana. Body na interior inakuwa nzuri sana ila engine na gearbox wanakubambika ikifika unaweza usifike hata nyumbani likaanza kuzingua!
Uzuri wamepewa taarifa, ila wao wamekuwa shingo ngumu.. na walivyo wajanja huwa gari zao wanajaza picha nyingi sana ili mtu avutike na kunasaWengi wameumia sana. Halafu gari kali huko Singapore $5000 ukigusa Japan inafika hadi $8000 ila ngoja ifike ndio utajua rahisi ghali.
Mambo yao ndio kama haya, lazima mtu alie kilio cha mbwa hapo ๐๐๐๐Wengi wameumia sana. Halafu gari kali huko Singapore $5000 ukigusa Japan inafika hadi $8000 ila ngoja ifike ndio utajua rahisi ghali.
Sema watu wajifunzeningesema kilicho tokea ila acha nikaushe [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ni aheri kununua boda boda tu๐ mzigo unakaribia ku clock 2,700 halafu imagine kuna mtu ana 4.0L V6 Engine anazurura nalo daily driven!Duh 10,000 ni mwendo wa Lita 3 tu!
Hahahahahah mzee umekaza sana na hizi mvua na madimbwi bado hakuna hata tyre pressure sensor error๐ ๐ ๐ !!!X-mas tree....alisikika Mjapan mmoja akisema! ๐๐
View attachment 2037488