Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bhana bhana bhana achana na hzi newforce hyo njia ya moro, mwaka 2015 tuko na suzuki grand vitara v6 manual, dash board kwetu inasoma 160kph muhuni huko nyuma anapiga honi sio mchezo Anaomba njia mamaeeee ila kukaa mbele yetu dk 1 nyingi kapoteaaa mamaeee
 
Hivyo vipande unaweza poteza hata masaa manne wakati ni sehemu za kutembea saa 1.

Kuna siku niliamsha saa 9 mchana. Nafika bagamoyo ile petrol station ya Total saa 12 jioni.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Ila hayo magari mkiwa highway sehemu ambazo hazina magari mengi kama Same, unawapita kama wamesimama. Fujo zao mjini tu.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vipande unaweza poteza hata masaa manne wakati ni sehemu za kutembea saa 1.

Kuna siku niliamsha saa 9 mchana. Nafika bagamoyo ile petrol station ya Total saa 12 jioni.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilitoka maeneo ya mwenge saa 10 jioni, Bagamoyo nilifika saa mbili usiku!
 
Nimepanga Arusha-Dar next WK.
Namaliziamalizia kurekekebisha kimeo changu.
Nimebadilisha steering rack,shock up mbele na nyuma,fuel filter,bush, hydraulic oil,wheel alignment na ishu ndogondogo nyingine..
Natumai hakitaniangusha..
Mrejesho...
Kimeo hakikuniangusha...[emoji120]
Na Jana nimerudi Arusha.kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa taifa..
Changamoto pekee Ni Tsh.20,000 ya kiwi baada ya kusimamishwa mara 3 wakati wa kurudi..

"Be Humble"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…