Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Njia panda ya Kahama na Shinyanga. Pamepoa sanai took this photo at tinde a few days ago(28/12/2021) during my roadtrip to geita.
View attachment 2064558View attachment 2064557
Ndio naamka aseee.. miaka ya karibuni inakuta nimelala tu, jana nimelala kuanzia saa nne usiku mda huu ndio naamka dah!Nilifika salama,nimepumzika sasa nataka kwenda viwanja nikaukaribishe mwaka
Nimepakukumbuka sana hii mitaa hasa napo elekea mwanza.. kulia hapo kuna mwana anajua kuchoma nyamaaa dah 😢😢i took this photo at tinde a few days ago(28/12/2021) during my roadtrip to geita.
View attachment 2064558View attachment 2064557
😬😬 Hapa penyewe bado nipo kitandani nimetulia tu, na siku nzima inaweza ishia sijatoka chumbaniDUh umelala 2021 umeamka 2022! Umetisha
mimi nilisimama kwa dharula ili nikatoke mpunga kidogo kwenye tawi la crdb bank lililopo pembeni yake.Nimepakukumbuka sana hii mitaa hasa napo elekea mwanza.. kulia hapo kuna mwana anajua kuchoma nyamaaa dah [emoji22][emoji22]