Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duniani watu wana stress hatari.

Niliwahi sikia mtu alipigwa shaba kwa kugonga gari la mtu.
 
Duniani watu wana stress hatari.

Niliwahi sikia mtu alipigwa shaba kwa kugonga gari la mtu.
Acha tu mkuu kuna watu wanalengwa shaba hivi hivi wanajiona

Maana wengine wakigongwa hawapendagi maelezo mengi ni actions tu

Kuna watu kutumia manati ya mzungu kwa binadamu wenzao ni dakika sifuri tu wala hawaoni uzito haijalishi kosa lako
 
Mapato toka Tourism.

2019 yalikuwa $2.6bn.
2018 yalikuwa $2.4bn, tourists walikuwa 1.5mn.
2017 yalikuwa $2.2bn, tourists walikuwa 1.3mn.
2016 yalikuwa 2.1bn, tourists walikuwa 1.28mn.

Source: Bank of Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…