Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Acha dhambi[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] nyie mpo powaa.. nimekuota cheee
Uione pepo
[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dhambi[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] nyie mpo powaa.. nimekuota cheee
Ohoo..Umeniotaje [emoji1][emoji1]
Duniani watu wana stress hatari.Dooh natamani siku hata ikitokea bahati mbaya nimegonga gari ya mtu basi awe mwenye mioyo kama yenu
Huwa tunashuhudia watu wanavyokula makofi mbele za watu kama watoto wadogo si mchezo
Na hata mimi mtu akigonga gari yangu huwa sijuagi kuwaka kuanza kumtukana au kumpiga
Sema majibu yake ndiyo yatadetermine nimchukulie hatua gani maana kuna wale wa "kwenda huko utanifanya nini"
Kuna mtu aliwahi kuvunjiwa ufunguo wa gari lake hivi hivi kisa majibu yake ya shombo na wakati kosa ni lake
Mshindo ndio nini kwanza.. Ebu niingize Lecture one ☺️☺️Wanaume mna michezo ya hatariii....!!!!!
Sasa hapo akirudi nyumbani mwenzake akitaka mshindo atautoa inavyopaswa kweliii...!!🤨🤨
Maana kiundo ndo kimefunga breki kunusuru kichwa kisipige chini.....
Mi sina neno.Hongera mkuu na jambo la kumshukuru Mungu pia..
Usiombe itokee, na ikitokea basi jitahidi busara zitawale hasira na mihemko.......
😁😁😁 ndoto yenyewe sijasimulia badoAcha dhambi
Uione pepo
[emoji1787][emoji1787]
Humo si kumepita bonde la ufa?Dom limepiga tetemeko muda huu sio poa
Bro. Mbona unabadili jina mara kwa mara?Siwasemi vibaya ila madereva wa IST wamechangamka sana kama wa subaru watata sana..
Tembea na kisu kwenye gari.Nishawahi ambiwa gari lenyewe la shemeji, hapo kanibonyezea gari upande wa kulia mbele wakati anachomekea. Hapa si mtu anatafuta shari tu.
[emoji1787]Bro. Mbona unabadili jina mara kwa mara?
Imenichukua kama week kujua wewe ndo Holly Man.
How? Why?
Kuna mtu nilikuwa namuelekeza Derivation ya g.. nilichukia that why nikaweka hilo jina.. alikuwa anjifanya haelewi nikajikuta siku nzima kanijaza sumuBro. Mbona unabadili jina mara kwa mara?
Imenichukua kama week kujua wewe ndo Holly Man.
How? Why?
Mshindo ndio nini kwanza.. Ebu niingize Lecture one ☺️☺️
Lecture two madam pls 😊😊😊Mshindo ni kitendo cha uume kishindilia uke hatua kwa hatua huku mwendo, sauti na mapigo ya moyo vikiongezeka kadri muda unavyokwenda...
Niendelee lekcha 2!!!!!?🤪
Lecture two madam pls 😊😊😊
tayari inatengezwa hapaaa.. ina ku wait.. Lecture two muhimu sana ili nitoboe CAAahaahahahahahaaa subiri nipate kibali cha kuendelea na lekcha 2......
Agiza coffe Latte kabisa 😜
Acha tu mkuu kuna watu wanalengwa shaba hivi hivi wanajionaDuniani watu wana stress hatari.
Niliwahi sikia mtu alipigwa shaba kwa kugonga gari la mtu.
Duuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Mapato toka Tourism.Bara niliambiwa mambo yakikaa vizuri huwa tunapokea watalii around 2M kwa mwaka na mapato yanaweza kufikia hata 8B USDs so tumewazidi visiwani kama mara nne hivi
Sasa tukilinganisha ukubwa pamoja na idadi ya vivutio kati ya bara na visiwani hatukutakiwa kuwazidi mara nne tu ilitakiwa tuwazidi zaidi ya mara hizo hivyo wao wanajitahidi pakubwa
Na hiyo ni kwa mujibu wa baadhi ya tour guides wa TANAPA wanasema watalii wengi huwa wanakuja kutembelea national parks sana wakati kuna vivutio zaidi ya hivyo na havitangazwi
Keep your identity mzee at any cost.Kuna mtu nilikuwa namuelekeza Derivation ya g.. nilichukia that why nikaweka hilo jina.. alikuwa anjifanya haelewi nikajikuta siku nzima kanijaza sumu