Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pombe gani unajaza tumbo tu hulewi. Kuna rafiki yangu nimemtoa kwenye Serengeti lite kahamia Safari.
Ewaaaa mi Safari na Balimi ndiyo bia zangu pendwa yaani hapo hauniambii kitu! Japo kuna Watu huwa wananishangaa wananiambiaga natumia vitu vizito eti hizo siyo bia ni gongo!

Mi nitakunywa bia zote ila siyo hizo Lite aiseee. Yaani haujanifuma bado kwa kweli.
 
Asanteni Sana katavi nimekuka kuku Sana.
Baada ya mapumzziko hapa sumbawanga nikisubiri tiny yangu isawazishe gori Sasa naitafuta Mbeya.

Wwnye kujua viwanja vizuri Mbeya nijuzeni nalala Mbeya asubuhi naanza safari
 
Dooh nikajua mie peke yangu ndiyo naziona hizo ni kama Juice kumbe tuko wengi
Pombe gani unajaza tumbo tu hulewi. Kuna rafiki yangu nimemtoa kwenye Serengeti lite kahamia Safari.
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…