Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ndio somehow imesababishaWatasingizia mgogoro wa Urusi ndio umesababisha🙄🙄🙄🙄😛😛
Utanionea wapi sasa,,nilikwambia nipo kimara nauza barafu.Jana nilipita maeneo yako ya kujidai, sema sikua huru ila nilishangaa shangaa sikukuona hata.
Kweli nyani haoni kunduleAahh mie na ucomedian wapi na wapi [emoji1787][emoji1787]
Kweli nyani haoni kunduleAahh mie na ucomedian wapi na wapi [emoji1787][emoji1787]
Ngoja tuone kesho kama yatapanda tenaLeo asubuhi dk chache zilizopita ime hit 109.76 ambayo bei hii toka 2013 leo imebonya tena.. acha tuone..
Bei itapanda tu kama mgogoro utaendelea kuwepo.. soon effects zake zitaonekana ikiwemo vitu kupanda bei.. na ni tatizo ambalo litaikumba dunia nzima..Ngoja tuone kesho kama yatapanda tena
Huu mgogoro unaleta athari kwenye mambo mengi basi tu ☹️Bei itapanda tu kama mgogoro utaendelea kuwepo.. soon effects zake zitaonekana ikiwemo vitu kupanda bei.. na ni tatizo ambalo litaikumba dunia nzima..
Na bado... tunapata taabu kweli hata sie trader stock hazi aminiki anything can happen tafrani tupuHuu mgogoro unaleta athari kwenye mambo mengi basi tu ☹️
Kwenye utalii nako[emoji3525]Na bado... tunapata taabu kweli hata sie trader stock hazi aminiki anything can happen tafrani tupu
Utalii sio sana.. ingawa kuna uwezekano picha likiendelea hivi sector ya usafirishaji ita puuuKwenye utalii nako[emoji3525]
Vita iishe tu hawa wajinga wanatuletea shida dunianiUtalii sio sana.. ingawa kuna uwezekano picha likiendelea hivi sector ya usafirishaji ita puuu
Sio wajinga, kila mtu anataka maslai yake 😃😃Vita iishe tu hawa wajinga wanatuletea shida duniani
Hii sio USA sio U. K sio Germany wote tutaipata kwa namna moja ama ingine sarafu ya Euro imepoteza nguvu kishenziYaan huu mgogoro utaathiri dunia nzima sasa
Labda ana bifu na Mods..[emoji19][emoji19]Extrovert kapigwa ban tena?
Mzee wa Toyota anavimbwanga sana[emoji23]Nilicheka alisema anajitahidi kujizuia asile ban ila mtu anacomment January makamba ni jembe, hapo kifuatacho lazima ale ban tuu, hahaha
Una miaka mingapi?Mabus yana mwendo mzuri, kwa upande wa private car nikiwa naenda field nakodiwa gari na kampuni so namcontrol dereva speed ninayotaka.
Nahisi ni wale wanaosimama kwenye petrol station.Jana kuna Jamaa wa lori kaniokoa kula cheti. Maeneo ya Mwanga kuna ka lami kapya Jana kuna sehemu walitega. Bila jamaa wa Lori kunishtua wangenipa cheti maana nilinogewa.