Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu kwema,

Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….

Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.

NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
IST akiamua kufanya mashindano anatembea 🤣 sema mie humo ndani sitakaa
Kuna IST tulitembea nayo sambamba SGD to ARU.. tunaingia town tunaikuta IST ile 😅😅😅
IST alivimbia VX, yule sijui alikuwa anatembea speed ngapi…
 
Hongera kwa kumiliki VX

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuaje kwan? Make hapo nicheke kwani.
 

Mkuu mimi mashindano hata sitaki kwa kwel we nipe tu ABCs za hyo road trip kutoka Dar had Mwanza na hiyo Ist[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama kana ni 1.5L kuna makubwa jinga mengi tu utayaacha ikiwemo 1hz cruiser.
 
mtembezi, mzururaji, royal tourist, roadtripper, juzi kati nilikuwa mkoa X ila leo nipo hapa jiji la Tabora.

wenye tabora yenu bila shaka mmeshajua nipo wapi mda huu.
View attachment 2209190
Hutu tutabia twa kutumiana Maramani sijui MaGiFs mwisho iwe mb3 tu.

Tumekimbia IG huko tumekuja huku unakutana na GiFs iko na 33.54MBs zingine mpaka 50Mbs alafu JF systems zinaipiga Automatic Download sijui ndiyo Automatic Preview basi kuna watu mnatusumbua.

Afadhali hata GiFs zenyewe zingekuwa na maana unakuta Gif yenyewe inakwamakwama full glitch. Prrr 4cken.

Leo nimeamua niseme tu.
 
unalalamika wewe peke yako, ndio ukome kuweka kibando cha buku moja. ila pole sana maana sina namna ya kukusaidia. dumbhead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…