Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bajeti ishapitishwa so tutegemee zianze kumwagika kwa wakurugenzi taratibu zile LC2OO zitaanza kwenda nje ya ligi
 
Hahahahahah ungekaza mguu jamaa angukustukia tu angeanza makusudi 😂 angeanza zile anapanda kilima akishuka unamuona yuleee😂
Zile gari kama unataka ufukuzane nazo na wewe uwe na SUV na isiwe chini ya 333HP .. hasa hizo zenye 406HP weka mbali na watoto sijui una ki gari chako kina 200HP .. binafsi nimeziona zimekaa kimchomoko ile mbya, mbili nimekutana nazo high way sikufanya chochote ila ukizitazama mwendo wake wa madahaa.. wala huna haja jujiongeze useme una mjaribu 😄😄😄😄😄 ila kama na wewe unachuma ya nguvu una test
 
Hahahah ile ya diesel ndio kidogo ina unafuu ila ya Petrol ni mziki mnene! Siku ukikutana nayo ukiwa na nyama ya mzungu unatesti😂
 
Hahahah ile ya diesel ndio kidogo ina unafuu ila ya Petrol ni mziki mnene! Siku ukikutana nayo ukiwa na nyama ya mzungu unatesti😂
Sio kila mnyama wa mzungu ni mzungu 😄😄😄 utachoma tu mafuta bure, pale kidogo unaweza unaleta ushindani kama una kifua cha maana, kama una chini ya 300HP ni hekima kuipisha tu
 
Sio kila mnyama wa mzungu ni mzungu 😄😄😄 utachoma tu mafuta bure, pale kidogo unaweza unaleta ushindani kama una kifua cha maana, kama una chini ya 300HP ni hekima kuipisha tu
Hao wanyama wote ni 3OO plus Hp na torque ni 4OONm plus haina namna utasumbua na kajiko kokote ka less than 3OOhp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…