Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mnyama kama mnyama! Hii na Y62 V8 nikizikuta barabarani hata kupita napita kwa adabu sitaki ligi...
Ha ha! Unaweka ligi tu kama ni salama. Sema shida ya hizo gari nyingi ni za serikali; na madereva wao ni ‘vichaa’. Ila kama nikiona ni ‘private number’, unamwekea ligi na inasaidia kufika haraka. Ila msisitizo ni KUWEKA LIGI KWA KUZINGATIA USALAMA WAKO NA WATUMIAJI WENGINE
 
Ha ha ha ligi hii inahitaji akili. Tatizo huyu jamaa mkifika kwenye matuta take off yake hutamuona. Ndio maana nikasema uwe na gari level yake. Kama gari yako hata kama ina mwendo ila engine ndogo kwenye stop-start hutamuona.
 
Kweli. Takeoff baada ya tuta au road block ndiyo komesha ya watu wanaopenda ligi zisizo level yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…