Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unao
By 2025 nataka nipate ile 2016-2019 Volvo XC90 2.0 twin turbo. Aisee ile gari ni noma! Nilicheki Top gear jamaa walii rate kama top suv so far!
Unaongelea manunuzi ya zaidi ya usd 40000,kabla ya hawa watu wetu wenye kutukomoa....... Though niseme in sha Allah, mola akuwezeshe kwenye kufikia lengo lako
 
By 2025 nataka nipate ile 2016-2019 Volvo XC90 2.0 twin turbo. Aisee ile gari ni noma! Nilicheki Top gear jamaa walii rate kama top suv so far!
Mazee! Hilo goma noma aisee! Twin turbo, supercharged na ni electric. Ila nina ugonjwa na diesel engines. Hivyo I go for D5 powerpulse R-design. Hii ina torque kubwa kuliko hata hiyo twin engine.
By 2025 nataka nipate ile 2016-2019 Volvo XC90 2.0 twin turbo. Aisee ile gari ni noma! Nilicheki Top gear jamaa walii rate kama top suv so far!
 
Hakikisha uko vizuri tu, usiwape pa kuanzia. Juzi walinisimamisha huku Kibada walikuwa kibao,kazunguka gari kaingiza namba kwenye mashine namuangalia tu mwisho kaishia kuomba card ya gari na leseni nikampa akaniruhusu niondoke.
Mzigo DVA ataongea nini huyo jamaa
 
Hahahahah nimecheka kinoma😂😂😂 itakuwa side mirror ililiwa na hao samaki
 
Ila ukiwa Lodge unanyonya ngenya kwa ustadi kabisa 😝
 
Sasa hiyo kwa wastani unapiga 126K in 7 years. Sasa yule aliekuambia garibyaki anayo for 7 years na ndio kwanza iko 80K ananishangaza. Nina Hakika hakununua 0KM
Mi yangu ina 200k + na ni usajili wa 2013!

Gari ya miaka 7 iliotumika Dar haiwezi kukosa chini 150K kwa sasa! Hata iwe ilinunuliwa kwa kilometer 20K mizunguko ya Dar ni mjini mirefu tofauti na ya mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…