Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Saaa nikawa najiuliza hizi namba zingine nlzinatokeaga wapi wapi kumbe ni upigaj

Ila anvhi yetu ya ajabu sanaa hizi namba zimesumbua sanaa raia wemaa.

Binafsi shahidj mwaka 2019 pale moroco karibu na ofisi ya voda, kuna ajali ilitokea ..subaru legacy moja ilipi nduka kisha ikaenda kuangukia ktk mtaro uliopo mbele ya jengo la boda..

sasa hazikupita dak 20 dereva aliyekuwemo mle akawaita wenzake wakaja na magari madogo madogo moja ha gari ilo lilikuwa na playe number za namna iyo ilianzia SGR aisee wale mmoja wa wale jamaa alimshambulia bodaboda mmoja ambae alipita kudhangaa tu ile ajali ..jamaa alimpiga mingumi yule dogo wa boda boda kianzia pale nilikiwa najiulizaga bila majibu hizi palte number ni za taasisi gani ? ... Kumbe ilikuwa hamna kitu.......
 
Unge mchana tu ukweli ..oya kuna raia kachafua mazingira ..natoa dak 10 za kuchimba dawa ... Kila mtu ashuke ....wangeshuka wote
 
Na ziko nyingi kweli kiufupi Kuna baadh ya namba za gari zinatuachaga midomo wazi ni namba za wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…